Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Munamdhalilisha tu dada wa watu sio vizur
 
yaani hawa wanaume ni shida!mwenzako nikiona semina zinakuwa nyingi naanza kushtuka mapemaaa!nakaba mpaka penalty,ukijifanya unazihurumia sana pesa za mwanaume mwenzako anaenda kuhonga malaya kama hawa halafu sisi tunabaki kuomba pesa mwezi mzima hupewi utafikiri sisi ni mahousegirl.

kuna wakati nawewe tumia hasaa pesa zake hata kwasababu za uongo!tukiwaachia sana wanatafuta wa kutumia nao nifah

Kweli kabisaa hawa wanaume hawaaa wanaliwa sana pesa na wanawake wa nje dawa ni hiyo
 
Last edited by a moderator:
hahaha okoa maisha ya nduguyo..

Jifanye kama umepanic hivi alafu nenda straight to his face..

Mwambie mpwa chonde chonde kama hukuyakuta tufanye turudi kijijini kwa bibi kabla hali haijawa mbaya..

dah umenichekeshaa
 
Ile nyumba yake ya Wazo naifahamu, ni bonge la hekalu...

Halafu jamaa ana mke mzuri sana sijui alifuata nn kwa kile kiemolo:sly:

Ndio hvyo rizki kugawana jamaa alikua vizuri sana pia mke mtamu kuliko makahaba yake.nyumba ameacha kigamboni apartment 9 za ghorofa mojamoja,wazo,tabata,mbezi beach na hostel nne dodoma plus hotel alikua anajenga dom ndio ilikua ghorofa ya 2
 
Yani mwezi huu mwishoni ilikua aje ar kuna mgodi alikua anakuja kusimamia una wafadhali toka nje.real marehemu alikua mtu w wa2 kuna wengi wamekua matajiri kupitia kwake hakua n roho y kwanini.
Istoshe alikua anafanya uhuni kisiri sana lulu tu kuanzia wolper,kajala,aunt wote kapita nao lulu kaanza nae mwaka juzi

u know him vizuri

pole mkewe

luluu acha waume za wa watu
 
Kweli kabisaa hawa wanaume hawaaa wanaliwa sana pesa na wanawake wa nje dawa ni hiyo

Yaani ni hatari dina!!tukifanya masikhara tutaendelea kuwazalia watoto tu huku michepuko yao ikiendelea kututusi
 
Ile nyumba yake ya Wazo naifahamu, ni bonge la hekalu...

Halafu jamaa ana mke mzuri sana sijui alifuata nn kwa kile kiemolo:sly:

Mkuu, ndiyo hivyo tena. Kijana alikuwa mpambanaji katika kutafuta maisha
 
Ndio hvyo rizki kugawana jamaa alikua vizuri sana pia mke mtamu kuliko makahaba yake.nyumba ameacha kigamboni apartment 9 za ghorofa mojamoja,wazo,tabata,mbezi beach na hostel nne dodoma plus hotel alikua anajenga dom ndio ilikua ghorofa ya 2[/QUOTE

Kimbley kwa apa unawezaje kukaba hadi penati ili asihonge nje?!
 
Hawa wanawake wanaongea tu ila wao ndio shida wanazileta wanataka gari,nyumba etc bila sisi watakufa njaa.acha wa2 wachepuke maisha yamekua magumu kwao c wasomi mpka kina amina ndala ndefu
 
Last edited by a moderator:
Acha 2 nlikimbia huko toka mwaka juzi ctaki mazoea nao halafu huwa wanapeana namba ukifika ar mtafute huyu

Kuna uzi mwingine kuhusu Seki eti mke wake alitabiriwa na TB Joshua kuhusu kifo chake.

Kumbe mke wa marehemu ni mlokole.
 
sasa lulu si wanasema mjamzito, masikini ashakuwa mjane kwa mara ya pili, gundu hilo. atajibebaje sana na nyumba aliyompangia si ndio atafukuzwa?

Naomba nikusahihishe kiongozi,kama nikweli atakuwa mjane kwamara yatatu. (Kanumba,Komba& Seck
 
yaani hawa wanaume ni shida!mwenzako nikiona semina zinakuwa nyingi naanza kushtuka mapemaaa!nakaba mpaka penalty,ukijifanya unazihurumia sana pesa za mwanaume mwenzako anaenda kuhonga malaya kama hawa halafu sisi tunabaki kuomba pesa mwezi mzima hupewi utafikiri sisi ni mahousegirl.

kuna wakati nawewe tumia hasaa pesa zake hata kwasababu za uongo!tukiwaachia sana wanatafuta wa kutumia nao nifah

hahahahaah umenifurahisha aisee..yaani mulemule
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom