Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Huyu binti inabidi asaidiwe, si bure! Huenda kuna DJINN linammiliki kama mke wake pasipo yeye kufahamu! Na alivo mrembo wengi tutauawa! R.I.P uliyetutangulia!
 
Dah Seki jamani,alikuwa mchangamfu sana ,kumbe alikuja kuingia kwa wa bongo movie?RIP seki tulidiscuss sana metalic minerals,sitamsahau ucheshi wake,kama amekuwa bilionea na kuwekeza basi kijana nimemsifu kwa kweli.

Ongea vizur na tweenty4seven akuchungulishe raman ya ujolo (geologist) mererani.
 
Nimekupata mkuu mimi mawe yalinishinda kitambo ingawa bado nina shauku nayo sana tu,kila la kheri!

Pole mkuu ndio maisha ukishindwa mahali unajaribu kwingne ila kwasasa tanzanite iko juu n vijana wanafanikiwa tu mimi kuna wakti nilipumzika 3yrz mwanza ila nlikua nawekeza kwanza then 2010 nkarudi tena kutafuta
 
Nimepigiwa cmu n kijana wke saa 9 kua seki kafariki kuna issue ilikua aje arusha mwisho w mwezi huu tufanye nae yani tumpe share mgodini kwetu aongoze njia.kafia kwake istoshe aliblid sana mana kioo kilikata mshipa mkubwa kwenye paja na kingine kilimchoma tumboni so sad,r.i.p sekioni mzee wa $$$

Pole sana mkuu, kijana alikuwa mpambanaji sana. Huu msiba najua Mr Damian (mzee D) atakuwa analia sana, maana ni kijana amekulia kwake, amesomea kwake, na hata kusomea mining engineer itakuwa ni mzee D alimshauri. Maana naye ni mining engineer.
 
RIP marehemu,

ila mtu mzima na akili zako utakaliaje stool ya kioo? kwani hiyo stool ya kioo ilikuwa ni kwa ajili ya kukalia?
kuna wageni walikuwa kwangu wakakalia ile coffee table waliniuziiii halafu walikuwa na matako makubwa nilihizi meza yangu ita-collapse!
 
Kinachonisikitisha,huyo mama yake lulu analishwa na lulu ambae ni mdogo, kwa hiyo na hao mabwana zake yeye anaona sawa tu, malezi gani hayo.yule mama hana uzee wa yeye kutojishuhulisha
 
Dah Seki jamani,alikuwa mchangamfu sana ,kumbe alikuja kuingia kwa wa bongo movie?RIP seki tulidiscuss sana metalic minerals,sitamsahau ucheshi wake,kama amekuwa bilionea na kuwekeza basi kijana nimemsifu kwa kweli.

Kijana alikuja kuwa bilionea, amewekeza sana tu Dar, Dodoma na Arusha. Anamagari mazuri ya kutembelea, pamoja na ya biashara. Alikuwa mcheshi sana, mtu mwenye kupenda utani. Pia alikuwa ni mtu mwenye kusaidia watu.
 
Dah Seki jamani,alikuwa mchangamfu sana ,kumbe alikuja kuingia kwa wa bongo movie?RIP seki tulidiscuss sana metalic minerals,sitamsahau ucheshi wake,kama amekuwa bilionea na kuwekeza basi kijana nimemsifu kwa kweli.

Kijana alikuja kuwa bilione, amewekeza sana tu Dar, Dodoma na Arusha. Anamagari mazuri ya kutembelea, pamoja na ya biashara. Alikuwa mcheshi sana, mtu mwenye kupenda utani. Pia alikuwa ni mtu mwenye kusaidia watu. Daah, hakika nimepoteza rafiki muhimu sana. Kazi ya Mungu haina makosa.
 
Mlidiscuss sana metallic minerals afu yeye akakimbilia kwenye Gemstones! Na zimemlipa haswa...afu kama nimekujua vile?!
yaani alikuwa bonge la muongeaji,mcheshi ,mchangamfu,alikuwa anachekesha sana kwenye slabu.sijui aliingiaje kwa lulu,Ndiyo jamaa aliingia kwenye gemstones,Seki jamani,ila pia alisoma industry minerals
 
Kijana alikuja kuwa bilione, amewekeza sana tu Dar, Dodoma na Arusha. Anamagari mazuri ya kutembelea, pamoja na ya biashara. Alikuwa mcheshi sana, mtu mwenye kupenda utani. Pia alikuwa ni mtu mwenye kusaidia watu. Daah, hakika nimepoteza rafiki muhimu sana. Kazi ya Mungu haina makosa.
Nashangaa anajuana hadi na kina diamond,pesa bwana,kwa kweli ni engneer aliefanikiwa
 
Pole sana mkuu, kijana alikuwa mpambanaji sana. Huu msiba najua Mr Damian (mzee D) atakuwa analia sana, maana ni kijana amekulia kwake, amesomea kwake, na hata kusomea mining engineer itakuwa ni mzee D alimshauri. Maana naye ni mining engineer.

Mzee d yupo nimemwona jana kuna mgodi mpya anasimamia mana nae alipunguzwa kazi kipindi kimoja n seki
 
kwa huu upuuzi naridhia kwa moyo wote mheshimiwa Rais asaini muswada,. Bila ya hivyo hizi akili za kuuzia maandazi zitatutesa sana. Yaani mtu anajiita great thinker halafu anakuja humu kuanza kumdiscuss marehemu. Hizo ni akili ndogo tu
 
Mzee d yupo nimemwona jana kuna mgodi mpya anasimamia mana nae alipunguzwa kazi kipindi kimoja n seki

Najua atakuwa amesafiri kwenda Dar, au atasafiri kesho. Najua lazima atakuwepo msibani.
 
Back
Top Bottom