Kimbley
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 3,050
- 2,104
Kwa iyo sa ivi unajenga kwenu?!
ahahahaaa hilo swali niulize Private banaaa!haitoleta maana nikijibu hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa iyo sa ivi unajenga kwenu?!
ahahahaaa hilo swali niulize Private banaaa!haitoleta maana nikijibu hapa
Ushauri kwa LULU please!!!!!
R.I.P sheneji!!!
Seki namfananisha,alisoma mining engneering?alikuwa muongeaji sana eeh,kama namkumbuka kwenye slabu wakati wa kula matunda kule foe
Hapo sawa kaka,Ruta naye aliyapiga sana wakati ule Bravo shaft ikiwa nyeti sipati picha Damian atakua na uwekezaji wa namna gani maana naye alikua anajua kula na vipofu
Alikua n akili sana kuna wakti alikua anapakua mzigo mzuri anachukua yeye anapeleka magonga kwa mzungu.istoshe amewekeza sana familia itaishi vizuri
Seki namfananisha,alisoma mining engneering?alikuwa muongeaji sana eeh,kama namkumbuka kwenye slabu wakati wa kula matunda kule foe
Hiyo stori yke anaijua yeye istoshe mtu kafia hom kwake lulu anahusika vipi na kifo hicho
Mkuu...inamaana kule Mbeya home hakuwekeza? Coz umetaja Dar, Dom na Arusha tu?
Alikua best yangu sana nimefanya bae biashara hakua n roho ndogo
Damiani yupo ila level y seki ataisikia tu mwaka jana seki alikua anaiba mawe y maana cdhani kwa tanzaniteone kuna mtu w kumfikia na kwasasa mgodi umekua hovyo 2.mimi niko opec nachimba n kununua
Mkuu, hapa kila mtu anaongea lake. Lakin taarifa toka kwa ndugu wa hapo nyumban kwake, wamesema alikuwa nyumban. Ndiyo hivyo tena, marehemu anaagwa dar jmosi na j3 wanazika Mbeya. Hiyo ndiyo taarifa niliyoipata toka kwa wanafamilia.
pole sana kuondokewa
ss zamu yako kumrithi lulu
au alianzia kuota meno ya juu!Kama ni kweli basi huyu binti atakuwa hana na hajawahi kuota mavyuzi (hii ni kwa mujibu wa taarifa za kimila)
Ndiyo huyo mkuu, jumamosi anaagwa dar.
Dah Seki jamani,alikuwa mchangamfu sana ,kumbe alikuja kuingia kwa wa bongo movie?RIP seki tulidiscuss sana metalic minerals,sitamsahau ucheshi wake,kama amekuwa bilionea na kuwekeza basi kijana nimemsifu kwa kweli.Ndiyo huyo mkuu, jumamosi anaagwa dar.
Damiani yupo ila level y seki ataisikia tu mwaka jana seki alikua anaiba mawe y maana cdhani kwa tanzaniteone kuna mtu w kumfikia na kwasasa mgodi umekua hovyo 2.mimi niko opec nachimba n kununua
Akateleza,akaanguka....! Kanumba RIP naye akateleza,akaanguka....!, kwenye ulimwengu wa giza kuna maelezo yake hapo kwakuwa coincidence haitokei mara mbili
Swaadkta mie ndio dawa wa wajane ngoja nikafunge antivirus kwanza
Dah Seki jamani,alikuwa mchangamfu sana ,kumbe alikuja kuingia kwa wa bongo movie?RIP seki tulidiscuss sana metalic minerals,sitamsahau ucheshi wake,kama amekuwa bilionea na kuwekeza basi kijana nimemsifu kwa kweli.