Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Ushauri kwa LULU please!!!!!
R.I.P sheneji!!!

Kuna kitu kama kidot vile au kiupele ambacho hua tunaota sehem mbalimbali za mwili, Hua vinaota vyenyewe na wakati mwingine hua vinakuja kupotea vyenyewe. Hivi hua ukijaribu kuviondoa au ukakikata kinatoa damu sana. Kikiota sehemu ya katikati ya uke/uume na mk*nd hua kana madhara katika mahusiano ya wapenz wawili hususani kwenye uhai wao au mtoto anae zaliwa. Nlipata kuelezwa hiki nakupewa mifano mingi iliyo pita baada ya baba mmoja mlokole(ameokoka) kupatwa na tatizo la kufisha wake zake zaidi ya watatu. Alikua akioa anaishi nae baada ya muda mke amafariki, ndipo wazee wajiran yake ikabid wamukarishe kitako kumdadisi. Ilipo gundulika anako walimuambia ako kaupele ndo chanzo, mwanzon alipinga ila kutokana na ugumu wa hali yenyewe ilibidi akubali. Walimtoa na badae Mungu akamsaidia akapata mke mwingine wakaoana hadi leo wanaishi na watoto wamezaa.
Wanasema hii ipo kwa pande zote mbili wake kwa wame, nahisi tatizo la huyu binti pia linaweza kua linauwiano na kitu kama icho kama sio kipara kule downward kama wachangiaji wengine walivyo sema.
 
Hapo sawa kaka,Ruta naye aliyapiga sana wakati ule Bravo shaft ikiwa nyeti sipati picha Damian atakua na uwekezaji wa namna gani maana naye alikua anajua kula na vipofu

Damiani yupo ila level y seki ataisikia tu mwaka jana seki alikua anaiba mawe y maana cdhani kwa tanzaniteone kuna mtu w kumfikia na kwasasa mgodi umekua hovyo 2.mimi niko opec nachimba n kununua
 
Alikua n akili sana kuna wakti alikua anapakua mzigo mzuri anachukua yeye anapeleka magonga kwa mzungu.istoshe amewekeza sana familia itaishi vizuri

Mkuu...inamaana kule Mbeya home hakuwekeza? Coz umetaja Dar, Dom na Arusha tu?
 
Seki namfananisha,alisoma mining engneering?alikuwa muongeaji sana eeh,kama namkumbuka kwenye slabu wakati wa kula matunda kule foe

Ndiyo huyo mkuu, jumamosi anaagwa dar.
 
Hiyo stori yke anaijua yeye istoshe mtu kafia hom kwake lulu anahusika vipi na kifo hicho

Dah, humu JF makanjanja wengi sana.

Yaani mtu anakuja na maelezo marefu na mbwembwe nyingi kumbe ni utunzi.
 
Mkuu, hapa kila mtu anaongea lake. Lakin taarifa toka kwa ndugu wa hapo nyumban kwake, wamesema alikuwa nyumban. Ndiyo hivyo tena, marehemu anaagwa dar jmosi na j3 wanazika Mbeya. Hiyo ndiyo taarifa niliyoipata toka kwa wanafamilia.

Nimepigiwa cmu n kijana wke saa 9 kua seki kafariki kuna issue ilikua aje arusha mwisho w mwezi huu tufanye nae yani tumpe share mgodini kwetu aongoze njia.kafia kwake istoshe aliblid sana mana kioo kilikata mshipa mkubwa kwenye paja na kingine kilimchoma tumboni so sad,r.i.p sekioni mzee wa $$$
 
Ndiyo huyo mkuu, jumamosi anaagwa dar.
Dah Seki jamani,alikuwa mchangamfu sana ,kumbe alikuja kuingia kwa wa bongo movie?RIP seki tulidiscuss sana metalic minerals,sitamsahau ucheshi wake,kama amekuwa bilionea na kuwekeza basi kijana nimemsifu kwa kweli.
 
Damiani yupo ila level y seki ataisikia tu mwaka jana seki alikua anaiba mawe y maana cdhani kwa tanzaniteone kuna mtu w kumfikia na kwasasa mgodi umekua hovyo 2.mimi niko opec nachimba n kununua

Nimekupata mkuu mimi mawe yalinishinda kitambo ingawa bado nina shauku nayo sana tu,kila la kheri!
 
Akateleza,akaanguka....! Kanumba RIP naye akateleza,akaanguka....!, kwenye ulimwengu wa giza kuna maelezo yake hapo kwakuwa coincidence haitokei mara mbili

hahahaha mkuu kuna kitu hapa hakipo sawa. Kwa ulimwengu wa giza kweli haya mambo yapo na kama ni kweli basi huyo jamaa aliyetengeneza kiboko.
 
Dah Seki jamani,alikuwa mchangamfu sana ,kumbe alikuja kuingia kwa wa bongo movie?RIP seki tulidiscuss sana metalic minerals,sitamsahau ucheshi wake,kama amekuwa bilionea na kuwekeza basi kijana nimemsifu kwa kweli.

Mlidiscuss sana metallic minerals afu yeye akakimbilia kwenye Gemstones! Na zimemlipa haswa...afu kama nimekujua vile?!
 
Back
Top Bottom