tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
hhhahaaaaa tena rithi wote wawili
Dah Seki jamani,alikuwa mchangamfu sana ,kumbe alikuja kuingia kwa wa bongo movie?RIP seki tulidiscuss sana metalic minerals,sitamsahau ucheshi wake,kama amekuwa bilionea na kuwekeza basi kijana nimemsifu kwa kweli.
Nimekupata mkuu mimi mawe yalinishinda kitambo ingawa bado nina shauku nayo sana tu,kila la kheri!
Nimepigiwa cmu n kijana wke saa 9 kua seki kafariki kuna issue ilikua aje arusha mwisho w mwezi huu tufanye nae yani tumpe share mgodini kwetu aongoze njia.kafia kwake istoshe aliblid sana mana kioo kilikata mshipa mkubwa kwenye paja na kingine kilimchoma tumboni so sad,r.i.p sekioni mzee wa $$$
Hahahaaa! Sijui nitatumia trick gani hadi niupate ukweli.
Ninavyopenda umbea hapa nateseka kwelikweli.
Dah Seki jamani,alikuwa mchangamfu sana ,kumbe alikuja kuingia kwa wa bongo movie?RIP seki tulidiscuss sana metalic minerals,sitamsahau ucheshi wake,kama amekuwa bilionea na kuwekeza basi kijana nimemsifu kwa kweli.
nadhani itakuwa Mara ya tatu!
Dah Seki jamani,alikuwa mchangamfu sana ,kumbe alikuja kuingia kwa wa bongo movie?RIP seki tulidiscuss sana metalic minerals,sitamsahau ucheshi wake,kama amekuwa bilionea na kuwekeza basi kijana nimemsifu kwa kweli.
yaani alikuwa bonge la muongeaji,mcheshi ,mchangamfu,alikuwa anachekesha sana kwenye slabu.sijui aliingiaje kwa lulu,Ndiyo jamaa aliingia kwenye gemstones,Seki jamani,ila pia alisoma industry mineralsMlidiscuss sana metallic minerals afu yeye akakimbilia kwenye Gemstones! Na zimemlipa haswa...afu kama nimekujua vile?!
mhuuuum,halafu lazima tunajuana,tukidisplay really names zetuOngea vizur na tweenty4seven akuchungulishe raman ya ujolo (geologist) mererani.
Nashangaa anajuana hadi na kina diamond,pesa bwana,kwa kweli ni engneer aliefanikiwaKijana alikuja kuwa bilione, amewekeza sana tu Dar, Dodoma na Arusha. Anamagari mazuri ya kutembelea, pamoja na ya biashara. Alikuwa mcheshi sana, mtu mwenye kupenda utani. Pia alikuwa ni mtu mwenye kusaidia watu. Daah, hakika nimepoteza rafiki muhimu sana. Kazi ya Mungu haina makosa.
Pole sana mkuu, kijana alikuwa mpambanaji sana. Huu msiba najua Mr Damian (mzee D) atakuwa analia sana, maana ni kijana amekulia kwake, amesomea kwake, na hata kusomea mining engineer itakuwa ni mzee D alimshauri. Maana naye ni mining engineer.
Swaadkta mie ndio dawa wa wajane ng
oja nikafunge antivirus kwanza
Kinachonisikitisha,huyo mama yake lulu analishwa na lulu ambae ni mdogo, kwa hiyo na hao mabwana zake yeye anaona sawa tu, malezi gani hayo.yule mama hana uzee wa yeye kutojishuhulisha
Mzee d yupo nimemwona jana kuna mgodi mpya anasimamia mana nae alipunguzwa kazi kipindi kimoja n seki