yaani hawa wanaume ni shida!mwenzako nikiona semina zinakuwa nyingi naanza kushtuka mapemaaa!nakaba mpaka penalty,ukijifanya unazihurumia sana pesa za mwanaume mwenzako anaenda kuhonga malaya kama hawa halafu sisi tunabaki kuomba pesa mwezi mzima hupewi utafikiri sisi ni mahousegirl.
kuna wakati nawewe tumia hasaa pesa zake hata kwasababu za uongo!tukiwaachia sana wanatafuta wa kutumia nao nifah
Unaweza kusali mpaka Mungu akachoka bora kuwaacha wafanye mpaka wachokeee,ni kumuombea uzima tu
Masikini kaka wa watu! Kumbe huyu ndiye aliyekua anampa jeuri eeh?
Haya sasa.
Short cut is.always a wrong cut... aibu yake, fedheha yake yani iwe fundisho kwa ma role model wake wanaotamani maisha yake ya insta hawajui nyuma ya pazia,
Short cut is.always a wrong cut... aibu yake, fedheha yake yani iwe fundisho kwa ma role model wake wanaotamani maisha yake ya insta hawajui nyuma ya pazia,
Umeona eeh? Wanawake tuamke wanaume sio wenzetu. Tunakufa nyumbani kwa wali ndondo kumbe wanaenda kutafuna bata huko na akina Lulu!
Nimeumia jamani utadhani mimi ndio mwenye mume!
huyu mtoto namuonea huruma huku simuonei huruma. ni mtoto mdogo mno kukumbwa na visanga kama hivi. na yote hii ni kuvamia maisha katika umri mdogo, kujiona umekua wakati bado una safari ndefu. Watoto wa umri wake wako chuo wanasoma ili wawe na elimu waweze kujitegemea, yeye katika umri huu yuko busy kusaka waume za watu wenye pesa maana bongo limejaa matope, hawezi kutulia akasoma, anataka short cut. Siku zote ukitaka short cut ya maisha, unakumbwa na mikasa kama hii. Hana tofauti na jambazi. Alitamba sana muda si mrefu kwenye kipindi cha Zamaradi kua yeye ni mchaga anaipenda pesa na anajua kuitafuta... kumbe kuitafuta kwenyewe si kwa kujituma akajulikana anachokifanya, bali ni kuvunja ndoa za watu na kuvuliwa pichu... mwenyezi mungu tunusurie watoto wetu wasifikie alikofikia huyo mtoto mdogo mwenye malezi mabovu... nasema mabovu maana mama yake anaonekana kufurahia sana haya maisha ya huyu mtoto. Sidhani hata kama kuna siku ameshawahi kumkalisha chini na kumkemea hii tabia au kumshawishi arudi shule. majaribu anayopitia, ni ujumbe kua amevamia mambo makubwa angali mdogo, hivyo anatakiwa kutulia sasa. Nina imani mwanaume mwenye akili timamu atamuogopa huyu binti kama ukoma, unless kama hujipendi. wako wanaosema siku za hawa wanaume zilifika, sikatai, lakini why always siku zifike ukiwa katika mahusiano na huyu binti...??? something is wrong somewhere, amrudie mungu wake. mke wa huyu marehemu RIP, aliumia sana kwa ajili ya huyu mtoto, machozi yake ndio yameleta majibu kama haya. naomba hili liwe fundisho kwa mabinti wote wenye kupenda short cut katika maisha kwa kuvuruga ndoa za wengine.
Alikua amekalia meza y kioo hom kwake mbezi beach ghafla meza ikavunjika kioo kikamkata mshipa mkubwa kwenye paja na kingine kikamchoma tumboni blinding ilikua n kasi hosp wakashindwa okoa maisha yake.ni kifo cha ghafla sana
mimi mwenyewe najiuliza kakalia meza ya kioo?au aliangukia kwenye hiyo meza labda,in short meza za vioo naziogopa sana,hasa zile angle zake,mimi kwangu meza ya kioo big no,kwa usalama wa wanangu.Mmmnh! Kwanini akae kwenye meza ya kioo, makochi hayapi??? Mmh Mungu ni samehe nisije nika haribu bure!!!!
mashallah....
Ni ujirani mwema na kudumisha ndoa unajua ukichepuka halafu ukirudi kwa mkeo ndio unazidi kumpenda ili asijue kama una mchepuko.
kweli jifunzeni lasivyo.............Wanaume inabidi tujifunze hapa
mbaya zaidi cha wote mwenyewe akidate na mtu ujue maisha yake yako ukingoni kufa..na ana mimba uyu lulu sijui itakua ya marehem ama ya nani maana ni chawote haswaa..na account yake insta kaifuta naona yuko very down na stress enough......ptyuuuuuUnaacha mkeo ndani...
Mwanamke wa haja...
Unafata cha wote ptuuuuu...
Hapa ni sawa na kuacha benz unafuata vitz
Mmmnh! Kwanini akae kwenye meza ya kioo, makochi hayapi??? Mmh Mungu ni samehe nisije nika haribu bure!!!!