Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Nimeshikwa na hasira hadi nakosa cha kusema!
Wanaume wanakera sana jamani! Huyo Lulu naye alivyojiachia? Yeye si bingwa wa kuweka picha insta? Mbona hiyo hakuweka?
 
yaani hawa wanaume ni shida!mwenzako nikiona semina zinakuwa nyingi naanza kushtuka mapemaaa!nakaba mpaka penalty,ukijifanya unazihurumia sana pesa za mwanaume mwenzako anaenda kuhonga malaya kama hawa halafu sisi tunabaki kuomba pesa mwezi mzima hupewi utafikiri sisi ni mahousegirl.

kuna wakati nawewe tumia hasaa pesa zake hata kwasababu za uongo!tukiwaachia sana wanatafuta wa kutumia nao nifah

Umeona eeh? Wanawake tuamke wanaume sio wenzetu. Tunakufa nyumbani kwa wali ndondo kumbe wanaenda kutafuna bata huko na akina Lulu!
Nimeumia jamani utadhani mimi ndio mwenye mume!
 
Last edited by a moderator:
Short cut is.always a wrong cut... aibu yake, fedheha yake yani iwe fundisho kwa ma role model wake wanaotamani maisha yake ya insta hawajui nyuma ya pazia,

Mkuu ukipata vipicha hapo msibani turushie tuone...ubuyu bila picha haunogi.
Thanks.
 
Short cut is.always a wrong cut... aibu yake, fedheha yake yani iwe fundisho kwa ma role model wake wanaotamani maisha yake ya insta hawajui nyuma ya pazia,

Lakini huyu dogo nae kazidi anatembea mpaka na vizee kama si laana nini na nyie wanaume ndio mkome ushaona mwenzio wa kwanza kanyonyolewa , wapili, wa tatu bado litajitokeza shababi lingine likapopolewe kabisa mwee kama mimi lulu nasomea usista kabisaaa ili kikombe kimwepuke.
 
Umeona eeh? Wanawake tuamke wanaume sio wenzetu. Tunakufa nyumbani kwa wali ndondo kumbe wanaenda kutafuna bata huko na akina Lulu!
Nimeumia jamani utadhani mimi ndio mwenye mume!

Ahahaaa nakwambia huruma na mahaba yetu kwao yanatuponza!unabana matumizi mwenyewe mama wa watu ili siku moja muwa kama bakhressa kumbe mwenzako anampelekea wolpar
 
huyu mtoto namuonea huruma huku simuonei huruma. ni mtoto mdogo mno kukumbwa na visanga kama hivi. na yote hii ni kuvamia maisha katika umri mdogo, kujiona umekua wakati bado una safari ndefu. Watoto wa umri wake wako chuo wanasoma ili wawe na elimu waweze kujitegemea, yeye katika umri huu yuko busy kusaka waume za watu wenye pesa maana bongo limejaa matope, hawezi kutulia akasoma, anataka short cut. Siku zote ukitaka short cut ya maisha, unakumbwa na mikasa kama hii. Hana tofauti na jambazi. Alitamba sana muda si mrefu kwenye kipindi cha Zamaradi kua yeye ni mchaga anaipenda pesa na anajua kuitafuta... kumbe kuitafuta kwenyewe si kwa kujituma akajulikana anachokifanya, bali ni kuvunja ndoa za watu na kuvuliwa pichu... mwenyezi mungu tunusurie watoto wetu wasifikie alikofikia huyo mtoto mdogo mwenye malezi mabovu... nasema mabovu maana mama yake anaonekana kufurahia sana haya maisha ya huyu mtoto. Sidhani hata kama kuna siku ameshawahi kumkalisha chini na kumkemea hii tabia au kumshawishi arudi shule. majaribu anayopitia, ni ujumbe kua amevamia mambo makubwa angali mdogo, hivyo anatakiwa kutulia sasa. Nina imani mwanaume mwenye akili timamu atamuogopa huyu binti kama ukoma, unless kama hujipendi. wako wanaosema siku za hawa wanaume zilifika, sikatai, lakini why always siku zifike ukiwa katika mahusiano na huyu binti...??? something is wrong somewhere, amrudie mungu wake. mke wa huyu marehemu RIP, aliumia sana kwa ajili ya huyu mtoto, machozi yake ndio yameleta majibu kama haya. naomba hili liwe fundisho kwa mabinti wote wenye kupenda short cut katika maisha kwa kuvuruga ndoa za wengine.

ameeen dada MANENO mazito sana hasa kwa sie wenye watoto wa kike
 
Alikua amekalia meza y kioo hom kwake mbezi beach ghafla meza ikavunjika kioo kikamkata mshipa mkubwa kwenye paja na kingine kikamchoma tumboni blinding ilikua n kasi hosp wakashindwa okoa maisha yake.ni kifo cha ghafla sana

Mmmnh! Kwanini akae kwenye meza ya kioo, makochi hayapi??? Mmh Mungu ni samehe nisije nika haribu bure!!!!
 
Uzuri sio sura, wengi wanakwenda nje ya nyumba kwasababu ya kuoa wake ambao sio wao, kama hukumshirikisha Mungu katika mahusiano yako awali Elewa kwamba hata kama mke mrembo kiasi gani siku moja utamchoka.
Nimaanishalo ni hili, ndoa ni jambo linalohitaji maombi, mianzo iliyowekwa misingi ya kimungu ndani yake ili iweze kudumu.
Ukianza na Mungu utamaliza na Mungu, Ukianza na shetani utamaliza na shetani labda ufanyiwe deliverance katika ndoa yako.
Sishangai kabisa hili kutokea na vijana wengi wamejikuta wakiangukia kubaya kwasababu ya wrong choice.
Wanaangalia
Matako
Rangi
Umaarufu
Utajiri
Etc
Wanaacha kuangalia mahusiano ya huyo Muhusika na Mungu wake.
Ndoa nyingi wengi anatembea na wafanyakazi wa ndani au secretary kazini au machangudoa kwasababu wake zao hawashughuliki ipasavyo yaani, sio wake zao
 
Mmmnh! Kwanini akae kwenye meza ya kioo, makochi hayapi??? Mmh Mungu ni samehe nisije nika haribu bure!!!!
mimi mwenyewe najiuliza kakalia meza ya kioo?au aliangukia kwenye hiyo meza labda,in short meza za vioo naziogopa sana,hasa zile angle zake,mimi kwangu meza ya kioo big no,kwa usalama wa wanangu.
 
mke wake yuko bomba tamaa zake tu.....lulu sijui ana jini mahaba alitaki awe na mwanaume maana kila mwanaume anaedate nae lazma arest in peace
 
Da Asia umenena. Mama mtu ameplay part kubwa sana kaika kuyaharibu maisha ya bintiye. Baada ya lile sakata la Kanumba ambapo aliponea chupuchupu kula mvua za kutosha alipaswa ajifunze. Bado tukasikia kuna marehemu Komba now huyu mkaka... mama anafurahia tu. Na mbaya zaidi mama akaamua kuhamia kwenye hiyo nyumba ya mwanae alopangishiwa na huyo Seky. Inaonekana dhahiri kuwa alikuwa anamsupport ingawa kwenye ile Take One alijitetea kuwa kwa vile Lulu hajaja kumtambulisha mwanaume yeyote pale kwake alishindwa kutanabaisha uwezo na mali na maisha ya kitajiri anayoishi binti yake nani anafadhili?

Wazazi tuna kitu cha kujifunza katika hili.

Ila naomba kutofautiana na wewe kidogo hapo kwenye machozi ya mke kuleta matokeo haya ya kumwumiza yeye mwenyewe.... nadhani ni siku ilifika na kifo kikafika kwa style hiyo.

Au ndio kusema Mungu anakupitisha kwenye moto ili usafike zaidi kama dhahabu?
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1429261212129.jpg
    1429261212129.jpg
    81.7 KB · Views: 825
Ni ujirani mwema na kudumisha ndoa unajua ukichepuka halafu ukirudi kwa mkeo ndio unazidi kumpenda ili asijue kama una mchepuko.

Na wife akijua ni matatizo mwanzo mwisho...bora kuacha tu na kubaki njia kuu.
 
Wanaume inabidi tujifunze hapa
kweli jifunzeni lasivyo.............

Unaacha mkeo ndani...

Mwanamke wa haja...

Unafata cha wote ptuuuuu...
mbaya zaidi cha wote mwenyewe akidate na mtu ujue maisha yake yako ukingoni kufa..na ana mimba uyu lulu sijui itakua ya marehem ama ya nani maana ni chawote haswaa..na account yake insta kaifuta naona yuko very down na stress enough......ptyuuuuu

Hapa ni sawa na kuacha benz unafuata vitz

Hapo sasa yaan tamaa tu zisizokua na maana
 
Mmmnh! Kwanini akae kwenye meza ya kioo, makochi hayapi??? Mmh Mungu ni samehe nisije nika haribu bure!!!!

Mkuu cku yko ikifika imefika tu unaweza fia chumbani,bafuni etc ni bahati mbaya 2 ila kioo kilikata mshipa mkubwa kwenye paja pia blinding ilikua n kasi
 
Back
Top Bottom