cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
mbona huwa anasema ye mchaga....yule nae ni muongo muongo tu labda kweli mpare si unamchek shot cheses
Babake Mchaga wa Rombo kabisa Tena alihojiwaga kipindi kile cha sakata la Kanumba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona huwa anasema ye mchaga....yule nae ni muongo muongo tu labda kweli mpare si unamchek shot cheses
ha ha ha usiende bukoba wala moshi ha ha hateh teh teh inabidi nianze kumtafuta Dinazarde maana huku kwingine ni shida aisee, unaweza kuondoka hivi hivi na maisha bado matamu..
aah sawa hata.mi najua dingi mchagaBabake Mchaga wa Rombo kabisa Tena alihojiwaga kipindi kile cha sakata la Kanumba.
umeona eeeehhh
huu si uwendawazimu huuu
prof anasema.... ila lulu n mtamu aiseee....!!!
Tumwombee uyu dogo maana pengine si yeye anapenda bali kuna roho zinamfuatilia! Sidhani kama anapenda kuona kila cku ana make headline za magazeti kwa mabaya namna hii.
Nimeshakutana nalo escape 1 na mount meru yani utoto tu cjui hajielewi mimi hata uwe bilionea sishoboki cz kma biashara tufanye c kubembeleza
Yaani inachosha hata ukikimbia kusoma utakutana nayo tena kwingine...
Kuiba waume wa watu hadi anaejifanya mpendwa wa Tanzania nae anaishi kwa kuiba waume
Hakuna anayejionyesha kuwa haya ona nafanya hivi nachuma kwa jasho langu.
Mungu aniepulie mabinti zangu wasije wajua hata kuwasoma mitandaoni.
Umechanganya huyu mwenye mke wa kichaga ni Johns yeye ni mkubwa Lulu anatoka na mdogo wake yule wa epa alioa msukuma wakaachana.Huyu Johnson mbona mke wake mzuri tu mtoto wa kichaga. Au wameachana?mabwaku
na hcho kimimba chake huyo mtoto simtambuiNingekuwa ndugu wa huyo mke, ni kumchalaza tu Lulu akisubutu kuingia msibani au anapozikwa.
ha ha ha ha dah nacheka kama mazuriwazee walishasema, sasa najionea mwenyewe. Huyu binti akifika miaka 40 atakuwa amefanya mauji ya halaiki aseee
hahaaaaaa
usimfanyie hvyooo
Duh nawe umepita hapo? Haiseee
Ila naona wasanii kugawa gawa ndio wanapata umaarufu....na wengine kulia vizazi na bado wana gawagawa tu.
jaman hana mimba ilikua fools dayna hcho kimimba chake huyo mtoto simtambui