warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Kuongea hatuachi ndio kwanzaa tumeanzaaa,hatukumtuma atembee na mume wa mtu,hatujamtuma awe maarufu alipewaga ushauri ajikalie kimya afanye shughuli zake akaona haifai show off kibao instagram wacha wasemee yaan tumepatanya ya kujadili ajizulu tu kwani ye ni special mno!!!hua sika,,,,,,,,,
Alionywa kutobishana na watu ovyo mitandaoni, hajui wengine ni watu au majini, mzuri yeye, akawa anawakashfu wenye sura mbaya, aya yamemkuta sas