Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Papuchi ni kitu laini sana hawezi ota sugu ingekuwa hivyo za madada poa zingekuwa vyuma vya reli kama sio zege lililotiwa kokoto na cement nalikauka kweli kweli
 
Papuchi ni kitu laini sana hawezi ota sugu ingekuwa hivyo za madada poa zingekuwa vyuma vya reli kama sio zege lililotiwa kokoto na cement nalikauka kweli kweli

Teh Teh Teh Teh na isingeubwa papuchi mana ndo kazi yake kusuguliwa.
 
hahahhah nimesoma comments za watu hapa nimeondoa stress za wiki nzima
 
Hii ishu imeandikwa hat kwene kitabu cha tobit kwene vitabu vya deuterakanoni. Kuna mwanamke alikuwa ana jini lilikuwa linaua kila mwanaume anaetaka kumuoa.tobiti alisaidiwa na malaika rafael na kuweza kulifukiza ilo jini na kumuoa huyo mwanamke
 
Inabidi hizi tittle tuzizoee tu maana mleta uzi ameileta kwa kuwa jamaa alikuwa anakula Lulu sidhani kama angekuwa ana mrembo wake huku kitaa kama heading ingekuwa hivyo
 
Jamani ni ninii hivi lo inasikitishaa aiseee sipati picha maumivu aliyonayo Lulu pamoja na mkewe halaf nasikia amekufa akiwa na mchepuko

Jamani haifai kumdharirisha marehem namna hii....kumzushia marehem sabab ya kifo bila uhakika sio uungwana, kama huna uhakika na habar kaa kimyaa
 
Hamna ana ye mhukumu ukweli lazima usemwe ulitaka watu wa msifie?[/QUOTE
Ni kweli kafia kwa mchepuko??? Ndo ilivotokea kweli?? Habar iko waz chanzo cha kifo chake kwa mujib wa familia yake...sasa huo ukweli mwingne umetokea wapi?
 
Hii ishu imeandikwa hat kwene kitabu cha tobit kwene vitabu vya deuterakanoni. Kuna mwanamke alikuwa ana jini lilikuwa linaua kila mwanaume anaetaka kumuoa.tobiti alisaidiwa na malaika rafael na kuweza kulifukiza ilo jini na kumuoa huyo mwanamke

Umenikumbusha Kuna novel ya Chinua Achebe inaitwa Things Fall Apart... Kuna mama mmoja nae alikiwa na mamizimu ya kuua watoto, na kwa wakiristo kuna siku Yesu alijibu mbinguni hakuna kula wala kuolewa baada ya kuulizwa mwanamme aliyefiwa na wanaume zaidi ya sita ataolewa na nan mbinguni...looh jf bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…