tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Huyu kweli alikuwa limbukeni...nasikia alianza na jini Kabula...na alikuwa anajisifia anavyowapanga bongo movie...yani HG wangu ana data zote maana ni mpenzi wa magazeti ya udaku hivyo yamemfanya amjue vizuri...hawa wataja pukutika kama ----- ndio watajua kama papuchi ni biashara or not...nasikia alikuwa anajisifu kuwa bado wema tu the rest kamaliza...
Jini kabula si ana moto yule?aisee basi huyu jamaa alikuwa kicheche,pole kwa mkewe maana aliona rangi zote.Huyu jamaa alikuwa limbukeni kweli,ndo maa a kafa kifo cha ajabu.Halafu siku ya birthday ya mchepuko wake,inawezekana alipanga suprise ya haja,Mungu kaamua kustopisha,na ni fundisho kuwa pesa si chochote,mpende mkeoHuyu kweli alikuwa limbukeni...nasikia alianza na jini Kabula...na alikuwa anajisifia anavyowapanga bongo movie...yani HG wangu ana data zote maana ni mpenzi wa magazeti ya udaku hivyo yamemfanya amjue vizuri...hawa wataja pukutika kama ----- ndio watajua kama papuchi ni biashara or not...nasikia alikuwa anajisifu kuwa bado wema tu the rest kamaliza...
Jini kabula si ana moto yule?aisee basi huyu jamaa alikuwa kicheche,pole kwa mkewe maana aliona rangi zote.Huyu jamaa alikuwa limbukeni kweli,ndo maa a kafa kifo cha ajabu.Halafu siku ya birthday ya mchepuko wake,inawezekana alipanga suprise ya haja,Mungu kaamua kustopisha,na ni fundisho kuwa pesa si chochote,mpende mkeo
Acha tu cku ikifika imefika alikua amembeba mtoto wke hiyo meza hajawahi kali so ilipovunjika yeye akaanguka kinyume ila hakumwachia mtoto then akanyanyuka kumbe kipande cha kioo kimemchoma kwenye mshipa mkubwa shingoni.anakaa jirani n uncle wake ndio kumpigia aje ampeleke agakhan hpo bliding ilikua n kasi y ajabu.
Hosp wameshindwa cz sehemu yenyewe hatari ikabidi aombe wamuongezee damu.
Then akaanza kuskia kichwa kinauma cz damu imepungua nyingi sana ndio maiti yakamkuta inatia huruma sana
Kongosho halogeki ili apende anapumbazwa akili tu na kutolewa utashi. Jamani mambo haya ya uchawi yapo fuatilia. La sivyo hawa kina 'Babu' si wangekuwa weshafunga vibanda vyao siku nyingi?
Tatizo la Lulu ni elimu, tumsamehe
Jini kabula si ana moto yule?aisee basi huyu jamaa alikuwa kicheche,pole kwa mkewe maana aliona rangi zote.Huyu jamaa alikuwa limbukeni kweli,ndo maa a kafa kifo cha ajabu.Halafu siku ya birthday ya mchepuko wake,inawezekana alipanga suprise ya haja,Mungu kaamua kustopisha,na ni fundisho kuwa pesa si chochote,mpende mkeo
Mark me..... vitapotea vyote hivyo alivyochuma. Miaka mi5 toka leo hutaamini mkuu....
Huyu mtoto mavi nini
Anaanzaje kuweka msiba wa mume wa mtu...
Katalaaniwa haka
Huyu kweli alikuwa limbukeni...nasikia alianza na jini Kabula...na alikuwa anajisifia anavyowapanga bongo movie...yani HG wangu ana data zote maana ni mpenzi wa magazeti ya udaku hivyo yamemfanya amjue vizuri...hawa wataja pukutika kama ----- ndio watajua kama papuchi ni biashara or not...nasikia alikuwa anajisifu kuwa bado wema tu the rest kamaliza...
...
labda umroge...!!
Wife kodi zote z nyumba zao ndio alikua anapokea yeye mana marehemu alikua kikazi ar so kuanzia hostel zke dom wife ndio alikua anapokea kodi mana hizo hostel ameweka meneja ndio anasimamia kila ki2 so mama hawezi kuyumba
... nkizidiwa tamaa ya fedha ni hit and run na sio ajiwekeze kwangu kuniharibia mume mtarajiwa
Mke murembo kama huyu......
Milupo ya nini?????
Wanaume aliyewaroga kafa
km si mchamungu utarogeka tuHakuna kulogwa......
Kawalamba haswa nasikia...kina husna wolper vuruga vuruga...
Mke murembo kama huyu......
Milupo ya nini?????
Wanaume aliyewaroga kafa
Mfyuuuuuuuuùuuu
Nkwelae lekaga gete,inauma sana,hiki kifo na coincidence ya birthday ya lulu,kuna kitu hapa.inawezakana waligombana na mkewe baada ya mke kugunduwa kitu lulu atafanyiwa kwenye birthday.i like u nkoooi...!!
Nkwelae lekaga gete,inauma sana,hiki kifo na coincidence ya birthday ya lulu,kuna kitu hapa.inawezakana waligombana na mkewe baada ya mke kugunduwa kitu lulu atafanyiwa kwenye birthday.