Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Huyu kweli alikuwa limbukeni...nasikia alianza na jini Kabula...na alikuwa anajisifia anavyowapanga bongo movie...yani HG wangu ana data zote maana ni mpenzi wa magazeti ya udaku hivyo yamemfanya amjue vizuri...hawa wataja pukutika kama ----- ndio watajua kama papuchi ni biashara or not...nasikia alikuwa anajisifu kuwa bado wema tu the rest kamaliza...

Magazeti y udaku ni uwongo mwingi sana istoshe data zao za kusikia c kuona.wolper,aunt n lulu washkaji zake ndio mmoja alikua n uwoya mwingne kma c kajala n madam.cz kuna wakati walikuja arusha kufanya show uchwara wema,aunt,kajala hapo wa2 waligawana fasta mechi mtu analipa cash
 
Huyu kweli alikuwa limbukeni...nasikia alianza na jini Kabula...na alikuwa anajisifia anavyowapanga bongo movie...yani HG wangu ana data zote maana ni mpenzi wa magazeti ya udaku hivyo yamemfanya amjue vizuri...hawa wataja pukutika kama ----- ndio watajua kama papuchi ni biashara or not...nasikia alikuwa anajisifu kuwa bado wema tu the rest kamaliza...
Jini kabula si ana moto yule?aisee basi huyu jamaa alikuwa kicheche,pole kwa mkewe maana aliona rangi zote.Huyu jamaa alikuwa limbukeni kweli,ndo maa a kafa kifo cha ajabu.Halafu siku ya birthday ya mchepuko wake,inawezekana alipanga suprise ya haja,Mungu kaamua kustopisha,na ni fundisho kuwa pesa si chochote,mpende mkeo
 
Utasikia "mkewangu anamishono mitatu tumboni ya uzazi yaani tumbo lake limeharibika halina hata shepu"niko naye kwasababu ya watoto tu ndio "maneno hawa wanaume wakiwa na michepuko yao.

Unadhani mchepuko akisikia hivi atafanya nini kama sio kukudharau mke wa halali?sidhani kama SEKY angefurahi hii posti ya Husna kama angepata nafasi ya kurudi duniani,asingekubali fedheha hii anayoipata akiwa amekwishatangulia kwa mwenyewe
 
Jini kabula si ana moto yule?aisee basi huyu jamaa alikuwa kicheche,pole kwa mkewe maana aliona rangi zote.Huyu jamaa alikuwa limbukeni kweli,ndo maa a kafa kifo cha ajabu.Halafu siku ya birthday ya mchepuko wake,inawezekana alipanga suprise ya haja,Mungu kaamua kustopisha,na ni fundisho kuwa pesa si chochote,mpende mkeo

i like u nkoooi...!!
 
Acha tu cku ikifika imefika alikua amembeba mtoto wke hiyo meza hajawahi kali so ilipovunjika yeye akaanguka kinyume ila hakumwachia mtoto then akanyanyuka kumbe kipande cha kioo kimemchoma kwenye mshipa mkubwa shingoni.anakaa jirani n uncle wake ndio kumpigia aje ampeleke agakhan hpo bliding ilikua n kasi y ajabu.
Hosp wameshindwa cz sehemu yenyewe hatari ikabidi aombe wamuongezee damu.

Then akaanza kuskia kichwa kinauma cz damu imepungua nyingi sana ndio maiti yakamkuta inatia huruma sana

Kifo chake kinasikitisha sana huyu baba!
 
Jini kabula si ana moto yule?aisee basi huyu jamaa alikuwa kicheche,pole kwa mkewe maana aliona rangi zote.Huyu jamaa alikuwa limbukeni kweli,ndo maa a kafa kifo cha ajabu.Halafu siku ya birthday ya mchepuko wake,inawezekana alipanga suprise ya haja,Mungu kaamua kustopisha,na ni fundisho kuwa pesa si chochote,mpende mkeo

Huyu mwaka jana aliweka kambi ar ila hakuwahi kua nae nlikua namwona mount meru wkend anakaba vichwa balaa
 
Mark me..... vitapotea vyote hivyo alivyochuma. Miaka mi5 toka leo hutaamini mkuu....

Wife kodi zote z nyumba zao ndio alikua anapokea yeye mana marehemu alikua kikazi ar so kuanzia hostel zke dom wife ndio alikua anapokea kodi mana hizo hostel ameweka meneja ndio anasimamia kila ki2 so mama hawezi kuyumba
 
Kawalamba haswa nasikia...kina husna wolper vuruga vuruga...

Huyu kweli alikuwa limbukeni...nasikia alianza na jini Kabula...na alikuwa anajisifia anavyowapanga bongo movie...yani HG wangu ana data zote maana ni mpenzi wa magazeti ya udaku hivyo yamemfanya amjue vizuri...hawa wataja pukutika kama ----- ndio watajua kama papuchi ni biashara or not...nasikia alikuwa anajisifu kuwa bado wema tu the rest kamaliza...
 
Mke murembo kama huyu......

Milupo ya nini?????

Wanaume aliyewaroga kafa
 
Attachments

  • 1429387847620.jpg
    1429387847620.jpg
    57 KB · Views: 940
Wife kodi zote z nyumba zao ndio alikua anapokea yeye mana marehemu alikua kikazi ar so kuanzia hostel zke dom wife ndio alikua anapokea kodi mana hizo hostel ameweka meneja ndio anasimamia kila ki2 so mama hawezi kuyumba

kila la heri mamake na joshua
bora seky alivyotangulia
 
Nkwelae lekaga gete,inauma sana,hiki kifo na coincidence ya birthday ya lulu,kuna kitu hapa.inawezakana waligombana na mkewe baada ya mke kugunduwa kitu lulu atafanyiwa kwenye birthday.

ila MUNGU fundi sana
daah kamuumbua haswaa mchepuko siku ya bday raha sana
na yaweza kua usemayo ni kweli maana vogue ni mpunga mrefu ujue
 
Back
Top Bottom