Alikua kwake si kwa mchepuko.hpo anaishi n mkewe n watoto ndio hom kwake
Hahahaaa! Kuna jamaa yangu mmoja amewahi kutoka naye basi tu namheshimu lasivyo ningemuuliza kama anazo au lah!
R.I.P Seki wa Arusha! Pole sana Lulu. Hivi una gundu gani we mtoto!
View attachment 244014
Hajahukumiwa, hapa sio mahakamani acha uzushi wewe!Una uhakika na ulichopost?...una muhukumu lulu ww kama nan?...lulu ni binadamu kama sisi unategemea atakua katika hali gan wote tukimuandama?..ni vyema kuacha ushabiki usio na maana
Huyu ndio alikuwa billionea wa kweli arusha. r.i.p my late supervisor
Mi natamani kujua uhusiano uliopo.. kukosa nywele na wapenzi kufariki
Samahani jamani, huyu seki ndie huyu tajiri aliyejinyonga nakuzikwa juzi?
Mmeshajiandaa kumzika na huyo jamaa yako..
kuna watu jana walisema eti ukiwa na mpenzi ambaye haoti zile nywele za chini a.k.a mavu.zi ni hatari sana...wenza wako watakuwa wanakufa...itabidi haka katoto tukachunguze vizuri...
Mi natamani kujua uhusiano uliopo.. kukosa nywele na wapenzi kufariki
Tenaa!!hii mijanaume yetu itamfata tu
Dah! Wanaume hawa wanatutia aibu kama nini.Sipati picha mkewe anaumia vipi kwa hizi habari anazosikia.
Basi tu bwana ndio maisha yake aliyojichagulia.
R.i.p sekioni tutakukumbuka kwa mengi so sad
Walishaachana tokea 2012.Angekua wa kufa tungeshamzika.
Kwani unataka kusema Lulu amewahi kudate na hawa watatu waliokufa?List ni ndefu basi tu bahati zao mbaya!