Presha isimpande mchezo????
Chezea showoff wewe
Bint harudii nguo huyu
Makongoro alimponza, walikuwa wanawapandia dau.Seki kwa misifa anataka awe juu ya makongoro so anatoa dau kubwa kubwa.
Kudadadeki
Halafu alitetewa sana jana huyu humu jamvini
Loh
Kumbe mpaka dau wanawekeana bana
Hahaha umenicha hoi kweli manake, kuna bank hapa town mume alinituma nimefika bulk bank tellar anaanza eti huyu mwenye account ni kaka yako.?? Nikamuuliza unamtaka??? Akaninunia balaa.Victorie kila mtu atasema lake ila marehemu kafa n majibu yote ila hakuna mtu ambae hachepuki huyo hana hela au anamarejesho y bank full stress.maisha y sasa uhuni umeshika kasi rkuanzia kwa wababa,wamama,wachungaji,vibinti ndio balaa.havitaki kufanya kazi wao ni kuvizia tu yani mimi kuna bank 2 hpa twn ningetaka ningetembea n bank yote hawana break wakikuona umekuja n minoti macho n roho zinataka kupaa.hawajui kma c zako umetumwa au umeuza mawe y mtu unabank hela yake wao full kukusalimia ***** zao
Hahaha umenicha hoi kweli manake, kuna bank hapa town mume alinituma nimefika bulk bank tellar anaanza eti huyu mwenye account ni kaka yako.?? Nikamuuliza unamtaka??? Akaninunia balaa.
Wakipata hela wanakua vipofu na kujiona wajanja
Kudadadeki
Halafu alitetewa sana jana huyu humu jamvini
Loh
Kumbe mpaka dau wanawekeana bana
Kweli shekeli Ilimuua Yesu.
Yani mme wa ndoa wa mwenzio umemuiba.Ok basi tunasema ilitokea, bado unamwekea msiba?? Kweli bongo movie bongolala.
Makongoro alimponza, walikuwa wanawapandia dau.Seki kwa misifa anataka awe juu ya makongoro so anatoa dau kubwa kubwa.
Mjombake ndo anajua kilichomtokea Mara wengine mshipa wa shingo.
Presha isimpande mchezo????
Chezea showoff wewe
Bint harudii nguo huyu
mmenichekesha nyie watu lllooohhh
Sasa huyu mama atapumnzika,maana ana uhakika mme wake yupo kaburini,kijana ndo kwanza alikuwa na miaka 35,mpaka afikishe 60 huko walahi mke angewehuka kwa umalaya wa mmewe.Makongoro alimponza, walikuwa wanawapandia dau.Seki kwa misifa anataka awe juu ya makongoro so anatoa dau kubwa kubwa.
Seki alijitenga na matajiri, kwaajili ya umachknow na kujifanya yupo juu zaidi, ndiyo sababu wote waliokaribu na huu msiba ni wale wa ndiyo tajiri, hakua na ukaribu na matajiri.mabilionea wapo kibao.Mabilionea wamekwisha marafiki ndio wako dar toka juzi na wengine wanaenda leo dom
yaani huyu kijana Mungu amrehemu tu, amebadilishwa na pesa alikuwa mpendwa safi, pesa zilivyoanza kuingia mke anakuja kumtembelea weekend, anamwacha anaenda kupandia dau la kulala na machangu, mke anajirudia zake dar, ikafika wakati akagoma kuja kumtembelea.yaani kamvumilia alifanya umalaya wa wazi sana
.
Sasa huyu mama atapumnzika,maana ana uhakika mme wake yupo kaburini,kijana ndo kwanza alikuwa na miaka 35,mpaka afikishe 60 huko walahi mke angewehuka kwa umalaya wa mmewe.
thnx wanawake ndoani wanavumilia sana
kwetu wengi sana tumeolewa ila dah juzi dada angu kazimia for 5hours ndoa ya dec just imagine!!
the problem amekuta picha za uchi za mwanamke ametumiwa mumewe via whatsap
akaona haitoshi karusha zingine wako wote mchepuko na mume dah
presha juu kazimia yuko tmj my dear sister
nimeumia sana kaka,dada angu mwingine ndo mumewe katongozaa shemeji wotee...
na mengine mengi tu..!!!.
wanaume wana wazimu!!
Sasa huyu mama atapumnzika,maana ana uhakika mme wake yupo kaburini,kijana ndo kwanza alikuwa na miaka 35,mpaka afikishe 60 huko walahi mke angewehuka kwa umalaya wa mmewe.
Duh pole, huo mchepuko unajiamini sana yaani kutuma picha za mahaba kwenye simu ya mwenye mke, sipati picha. Me kuna mchepuko uliwahi niandikia sms za kashfa, mume kuzioba akamwekea chuma shingoni. Yaani badala ya kukasirika nilipiga vigelegele. Mbona alihama mji, yupo huko jijini kwenu.
Sasa huyu mama atapumnzika,maana ana uhakika mme wake yupo kaburini,kijana ndo kwanza alikuwa na miaka 35,mpaka afikishe 60 huko walahi mke angewehuka kwa umalaya wa mmewe.
Seki alijitenga na matajiri, kwaajili ya umachknow na kujifanya yupo juu zaidi, ndiyo sababu wote waliokaribu na huu msiba ni wale wa ndiyo tajiri, hakua na ukaribu na matajiri.mabilionea wapo kibao.
Hivi kweli umeona jeraha la marehemu alivyochinjwa,?? Kioo cha namna gani kinaweza kumkata mtu kwa stail ile?? Kimemkata kuanzia mwanZo wa ubavu hadi kiunoni kwanza kwa kunyooka me bado najiuliza,!!! Hakikukita bali kimechinja, na inaonekana sehemu nyingine nyuzi zinaachia yaani anashonwa nyuzi zinaachichia,. Bado naona hicho kioo ni cha maajabu.
Mbona hajaumia shingo??? Mwee mjomba anajua siri ya kifo cha marehemu. Amekalia stuli ya kioo, kilivyopasuka kikarukia shingoni au?? Lakini hajaumia shingo.
hahahhhaaahhaaa
yani sisy anajuta ndoa ya only for months tayari presha juu mi nimemuambia arelax au la angoje ulcers
ila mmeo mtata sana
kwani unafkri wanachepuka hawapendi wake zao...
baas tu hulka za kifisi maji!
Duh pole, huo mchepuko unajiamini sana yaani kutuma picha za mahaba kwenye simu ya mwenye mke, sipati picha. Me kuna mchepuko uliwahi niandikia sms za kashfa, mume kuzioba akamwekea chuma shingoni. Yaani badala ya kukasirika nilipiga vigelegele. Mbona alihama mji, yupo huko jijini kwenu.
Umeonea wapi hiyo?
Seki alikuwa mtu wa karibu sana na familia yangu lakini zarau zake na tabia chafu zilifanya tujitenge naye, siwezi tu kuweka picha ya marehemu hapa cos jeraha lake kwa kweli linatisha na kutatanisha pia familia hawatapenda, mume wangu alienda kumwona akanirushia picha.