Binadam tunatakuwa tuwe wanyenyekevu kwa Mungu wakati wote na ukiwa myenyekevu utawaheshimu watu wote ikiwemo familia yako.Mpe Mungu nafasi kwenye maisha yako,kila unapoamka mshukuru Mungu mwambie asante na mwombe ulinzi wake kwa wiki zote za maisha yako.Roho ya mauti inapokujia(kwa wake wanaoamini kuwa SI vifo vyote Ni mapenzi ya Mungu mama Mimi)Ni rahisi kuikemea kama Hezekieli aliambiwa utaishi Bali utakufa alimgeukia Mungu na kumwongezea siku za kuishi.Si kila kitu majanga,wakati anaudumiwa angeendelea kumwomba Mungu rehema na kukemea hiyo roho ya mauti na siyo kumpiga/kujipiga picha.Naomba tujifunze hapa kwa sisi tuliobaki duniani jinsi ya kumsema Mungu mbele na sio pesa zetu,au mjomba au dactari uku unakimbizwa hospital piga maombi tuna msg watu waombe kwa ajili yako.Watakao elewa Ni wachache.Ila wanadam tumemdharau Mungu sana