Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Ingawa ndiyo mara ya kwanza kwangu kusika tukio kama hili, lakin hadi nimeziogopa hizi meza.
mimi niliziogopa muda mrefu ila ni kwa zile angle zake ,ni hatari kwa watoto.Ila sikuwahi kuwaza kama ikikaliwa yaweza vunjika,but niliondoa maana watoto wakikimbizana ni kama wanakwenda kujigonga,niliamua kuifutilia mbali kabisa.
 
yaan hiki ki lulu hakijali hata waume za watu. nenda msibani pumbavu zko
 
Ninyi ndiyo family friend wanafiki. Hakuna MTU perfect, katika kipindi hiki kigumu ulitakiwa wewe na mume wako muwe msaada wa faraja kwa familia yake lakini matokeo yake mnaenda hospital kupiga Picha mwili wa marehemu na kurushiana Watsapp.

Hivi unadhani Mke wa marehemu akijua hayo atafurahi?

Pili yaani family friend unaweza kushinda mtandaoni kupiga soga LA kumkashifu huyo family friend wenu!!

Tatu huyo mume wako anapata wapi guts za kupiga Picha ya marehemu tena bila aibu.
Nimsifie baada ya kufaa?? Nirudishe urafiki baada ya kufaaa?? Tulisha tupa kule, mke haitaji faraja anatakiwa Ashukuru Mungu, alimfahamu mume wake vilivyo,. Picha ilinirushia mimi mke wake kunionesha jeraha lilivyo na hakurusha bublic.marehemu alikuwa na guts zaidi ya hiyo.so kafariji familia ndugu mimi sio mnafiki na siwezi kuonyesha unafiki kwa marehemu.
 
Ninyi ndiyo family friend wanafiki. Hakuna MTU perfect, katika kipindi hiki kigumu ulitakiwa wewe na mume wako muwe msaada wa faraja kwa familia yake lakini matokeo yake mnaenda hospital kupiga Picha mwili wa marehemu na kurushiana Watsapp.

Hivi unadhani Mke wa marehemu akijua hayo atafurahi?

Pili yaani family friend unaweza kushinda mtandaoni kupiga soga LA kumkashifu huyo family friend wenu!!

Tatu huyo mume wako anapata wapi guts za kupiga Picha ya marehemu tena bila aibu.

Mbona unapaisha umejiona weye ndio sio mnafiki...pita pole pole huna la maana kumjibu hivi.

Unajibu utadhani umeambiwa upangie watu waishije wafanyaje...
 
Ninyi ndiyo family friend wanafiki. Hakuna MTU perfect, katika kipindi hiki kigumu ulitakiwa wewe na mume wako muwe msaada wa faraja kwa familia yake lakini matokeo yake mnaenda hospital kupiga Picha mwili wa marehemu na kurushiana Watsapp.

Hivi unadhani Mke wa marehemu akijua hayo atafurahi?

Pili yaani family friend unaweza kushinda mtandaoni kupiga soga LA kumkashifu huyo family friend wenu!!

Tatu huyo mume wako anapata wapi guts za kupiga Picha ya marehemu tena bila aibu.

Hivi mtu akisema ukweli wa moyo wake ni unafiki siku hizi? Tatizo watu wamezoea kudanganywa hovyohovyo.
 
Binadam tunatakuwa tuwe wanyenyekevu kwa Mungu wakati wote na ukiwa myenyekevu utawaheshimu watu wote ikiwemo familia yako.Mpe Mungu nafasi kwenye maisha yako,kila unapoamka mshukuru Mungu mwambie asante na mwombe ulinzi wake kwa wiki zote za maisha yako.Roho ya mauti inapokujia(kwa wake wanaoamini kuwa SI vifo vyote Ni mapenzi ya Mungu mama Mimi)Ni rahisi kuikemea kama Hezekieli aliambiwa utaishi Bali utakufa alimgeukia Mungu na kumwongezea siku za kuishi.Si kila kitu majanga,wakati anaudumiwa angeendelea kumwomba Mungu rehema na kukemea hiyo roho ya mauti na siyo kumpiga/kujipiga picha.Naomba tujifunze hapa kwa sisi tuliobaki duniani jinsi ya kumsema Mungu mbele na sio pesa zetu,au mjomba au dactari uku unakimbizwa hospital piga maombi tuna msg watu waombe kwa ajili yako.Watakao elewa Ni wachache.Ila wanadam tumemdharau Mungu sana
 
UPOPO nimekuelewa vizuri mno. Pambana huku ukiwa unamuita Mungu hadi dk ya mwisho when in trouble. Hata kama usipopona mauti utapata rehema ya kuingia Mbinguni. If u cannot pray mwenyewe shirikisha watu wakusaidie kumlilia Mungu.
 
Rip seki, pole mke wa marehemu.

Pesa zilimbadirisha seki, mke alimpenda mumewe tangu Akiwa hana pesa, wakiwa wote wanafunzi, mapenzi ya mke Kwa mume yalikuwa ya dhati.
Wanaume wenzangu tuache kunyanyasa wake zetu, tuseme no Kwa michepuko, tunapoumwa wake zetu ndio utuhudumia michepuko hukimbia, tunapofirisika michepuko hukimbia wake tunakuwa nao bega kwa bega.
Wakati mwingine sioni sababu ya kutafuta pesa.......
 
mtoto ana kinyama tena ni kibaya "kimenengu" mbona co tatizo kubwaaa anitafute kupitia hapa,mliokuwa msibani mpeni taharifa iz msiba ukiisha tu anitafute kupitia jf.

huyu naye kakazana na kimenengu kimenengu akha
 
Back
Top Bottom