Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii habari naikumbuka sana yule baba alikuja kumuoa nesi aliyekuwa anamhudumia! Japo nilikuwa sijui that story behind
Sijui michepuko ikipitia nyuzi kama hizi inajisikiaje!! Lakini itakuwa imekufa ganzi tu wala haijali mnajadili nini...michepuko ni laana tu popote ilipo.
Hahaaa! Mimi sitaki Mume wangu afe kwa laana zangu, lakini huwa naiombea michepuko mabaya yawafike, nashukuru Mungu kwa kiasi fulani ni na Amani ya nafsi" na michepuko iliyojifanyaga kuloga ilishindwa, naamini Mungu alisimamia hili na Mume wangu ndiye aliyegundua kuwa mchepuko unamloga, sala kwa moyo mnyofu na majitoleo kwa Mungu ni msaada mkubwa kwa wanandoa. kwa neema za Mungu wanandoa tuzeeka tukiwa pamoja na hata ikitokea kuzikana tutazikana kwa mipango ya Mungu.hahhahahaaaa nimejikuta nacheka tu
na mchepuko hapa unatufyonyaa tu
ila bora tuwambie japo hatuwajui
ila neema za MUNGU zinatupigania sisi tunaowaombea na kufunga kwa ajili yao

ila bora tuwambie japo hatuwajuir
ila neema za MUNGU zinatupigania sisi tunaowaombea na kufunga kwa ajili yao
Na mimi kuna vitu vingi nimejifunza sana kupitia huu uzi..kikubwa kimoja ni kwamba Michepuko sio deal, tusinyanyase wake zetu tulotoka nao mbali kimaisha kwenye mabonde na milima , michepuko haina mapenzi ni pesa tuu imeweka mbele...tuheshimu ndoa!! RIP - Bro SEKI,.Kuna kitu nimejifunza kupitia mada hii...

All names have letter K inside!Kanumba,komba,seki ........ who is next
Ujumbe wangu kwa mama lulu na lulu ni kuwa kwanza ashukuru iko kistuli akikuwa kwao mauti yangemkuta kwa Lulu sijui ingekuwaje,pia Mungu anampenda Lulu anataka abadilike kwa nini hasitafute mtu ambaye ana mke akaishi naye maisha ya kawaida tu,waache tamaa yeye na mama yake.
Na mimi kuna vitu vingi nimejifunza sana kupitia huu uzi..kikubwa kimoja ni kwamba Michepuko sio deal, tusinyanyase wake zetu tulotoka nao mbali kimaisha kwenye mabonde na milima , michepuko haina mapenzi ni pesa tuu imeweka mbele...tuheshimu ndoa!! RIP - Bro SEKI,.
Mkuu mshana jr, hiyo ni lugha hii hii tunayoielewa wote humu jamvini au ndo mambo ya tachi skrini zetu hizi... sijaambua kitu manake!!Shigha vichike avae....!!!!
Kama hivyo, sawa na bila shaka ni kibantu kinachoendana na jina mshana!Pole chige hiyo ni kibantu zaidi
Huyu binti sasa amekuwa janga la kitaifa kwa wanaume wakware