Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Sijui michepuko ikipitia nyuzi kama hizi inajisikiaje!! Lakini itakuwa imekufa ganzi tu wala haijali mnajadili nini...michepuko ni laana tu popote ilipo.

hahhahahaaaa nimejikuta nacheka tu

na mchepuko hapa unatufyonyaa tu
ila bora tuwambie japo hatuwajui

ila neema za MUNGU zinatupigania sisi tunaowaombea na kufunga kwa ajili yao
 
hahhahahaaaa nimejikuta nacheka tu

na mchepuko hapa unatufyonyaa tu
ila bora tuwambie japo hatuwajui

ila neema za MUNGU zinatupigania sisi tunaowaombea na kufunga kwa ajili yao
Hahaaa! Mimi sitaki Mume wangu afe kwa laana zangu, lakini huwa naiombea michepuko mabaya yawafike, nashukuru Mungu kwa kiasi fulani ni na Amani ya nafsi" na michepuko iliyojifanyaga kuloga ilishindwa, naamini Mungu alisimamia hili na Mume wangu ndiye aliyegundua kuwa mchepuko unamloga, sala kwa moyo mnyofu na majitoleo kwa Mungu ni msaada mkubwa kwa wanandoa. kwa neema za Mungu wanandoa tuzeeka tukiwa pamoja na hata ikitokea kuzikana tutazikana kwa mipango ya Mungu.
 
hahhahahaaaa nimejikuta nacheka tu

na mchepuko hapa unatufyonyaa tu
ila bora tuwambie japo hatuwajuir

ila neema za MUNGU zinatupigania sisi tunaowaombea na kufunga kwa ajili yao
Hahaaa! Mimi sitaki Mume wangu afe kwa laana zangu, lakini huwa naiombea michepuko mabaya yawafike, nashukuru Mungu kwa kiasi fulani ni na Amani ya nafsi" na michepuko iliyojifanyaga kuloga ilishindwa, naamini Mungu alisimamia hili na Mume wangu ndiye aliyegundua kuwa mchepuko unamloga, sala kwa moyo mnyofu na majitoleo kwa Mungu ni msaada mkubwa kwa wanandoa. kwa neema za Mungu wanandoa tuzeeka tukiwa pamoja na hata ikitokea kuzikana tutazikana kwa mipango ya Mungu.
 
Kuna kitu nimejifunza kupitia mada hii...
Na mimi kuna vitu vingi nimejifunza sana kupitia huu uzi..kikubwa kimoja ni kwamba Michepuko sio deal, tusinyanyase wake zetu tulotoka nao mbali kimaisha kwenye mabonde na milima , michepuko haina mapenzi ni pesa tuu imeweka mbele...tuheshimu ndoa!! RIP - Bro SEKI,.
 
Marehemu Seky alikuwa akitoka na Lulu bila kificho chochote na mapenzi yao yalikuwa ya wazi ata kuwekeana miguu katikati ya mapaja kama mnavyoona kwenye picha ata mke wa billionea wa Arusha Seky alikuwa anajua,sema ndio alishashindikana.

Marehemu pia ndio aliyempangishia nyumba Lulu kama ambavyo tuliwahi wajulisha umu JF lakin hata hivyo mtu wa karibu wa Lulu anasema kodi ikiisha kama hasipopata mrithi basi atarudi kwenye nyumba yake aliyejengewa na marehemu aliyepita.

Ujumbe wangu kwa mama Lulu na Lulu ni kuwa kwanza ashukuru iko kistuli akikuwa kwao mauti yangemkuta kwa Lulu sijui ingekuwaje,pia Mungu anampenda Lulu anataka abadilike kwanini hasitafute mtu ambaye hana mke akaishi naye maisha ya kawaida tu,waache tamaa yeye na mama yake.

Pia ujumbe mwingine kwa mke wa halali wa marehemu namuomba wala hasiuzunike sababu mipango ya Mungu labda amemuepusha na mambo mazito zaidi.

Pia kuna tetesi ile siku marehemu anafariki ambayo ni birthday ya Lulu pia,Ilikuwa lulu azawadiwe Vogue.

When "ay" is omitted or included in "okay" it'll change nothing but "h" in "ana" turns everything upside down!!
 
Umenena vyema
 
kwa hiyo HunatuHambia kwamba lulu huwa Hanatoa roho za watu Hakiwa naHO kimapenzi
 
Huyu binti sasa amekuwa janga la kitaifa kwa wanaume wakware
 
Siunaona kbs kamguu kalikuwa kanarandaranda maeneo ya ikulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…