yaani baada ya kulia msiba ulokupata unaanza kulia kwa hasira na wivu wa kusalitiwa kwa msiba kama huu kwa huyo mama
Nautafuta na mimi huo uzi jamani
Hapo lazima ujiulize mara mbili, halafu wote vifo vya ghafla. Seki alikua anafanya Tanzanite one, ana mke na watoto hatareeee
yaani ni shidaaa.
mchombeze bass
Ukiupata unishtue na mimi
Mbona hata huyu Seki walishakachana siku nyingi tu... hahaha muulize nduguyo kama anazo muwahi kwenye matambiko
Kwani alichosema uongo?
Walishaachana tokea 2012.Angekua wa kufa tungeshamzika.
Kwani unataka kusema Lulu amewahi kudate na hawa watatu waliokufa?List ni ndefu basi tu bahati zao mbaya!
Jamaa alikuwa mtu safi sana asee.. Nishakula nae bia sana pale Mount Meru
Kama ni kweli basi huyu binti atakuwa hana na hajawahi kuota mavyuzi (hii ni kwa mujibu wa taarifa za kimila)
sasa lulu si wanasema mjamzito, masikini ashakuwa mjane kwa mara ya pili, gundu hilo. atajibebaje sana na nyumba aliyompangia si ndio atafukuzwa?
nadhani itakuwa Mara ya tatu!
huyu dogo atakua hana nywele hata za kichwani aiseee
anaonekana mtam
how? wakwanza kaumba ambaye kesi haijaisha, wa pili huyo mfanyabiashara aliyekuwa amempangishia nyumba, watatu nani?
KANUMBA
KOMBA
SEKI-MBA wewe Luluuuu
Pole yako... mpenzi wa tatu anafariki... na leo alikua kaandaa bonge la party siku ya birthday yake.. unapanga hili mungu nae anapanga jingine
(1) Kanumba = RIP (2) Captain Komba = RIP (3) Seky = RIP (4) ????!!!! =RIP
Hapo kwenye red =Mr Wonderful
Ngoja kwanza nikatafute kazi GEITA GOLD MINE!!!!
Hahahaaa! Kuna jamaa yangu mmoja amewahi kutoka naye basi tu namheshimu lasivyo ningemuuliza kama anazo au lah!
kila mwenza wa lulu anafariki "ghafla" tena kwa kuanguka
Hahahaaa! Sijui nitatumia trick gani hadi niupate ukweli.
Ninavyopenda umbea hapa nateseka kwelikweli.
Hahahaaa! Sijui nitatumia trick gani hadi niupate ukweli.
Ninavyopenda umbea hapa nateseka kwelikweli.
..kwa dar alikua anaibuka sana contena kwa rasta..alikua mtu poa sana...Steve nyerere atalia sana
Du hapo hakijafika hata 30s hadi kifike 40s si itakuwa list ya kusafirishwa kwa mabehewa kadhaa ya trein