Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,367
how? wakwanza kaumba ambaye kesi haijaisha, wa pili huyo mfanyabiashara aliyekuwa amempangishia nyumba, watatu nani?
Downward Hair anazo, nimetoka nae juzi tu, ila ni za bandia kaotesha India.
sasa lulu si wanasema mjamzito, masikini ashakuwa mjane kwa mara ya pili, gundu hilo. atajibebaje sana na nyumba aliyompangia si ndio atafukuzwa?
familia yake iko dsm, arusha alikuwa akifanya kazi pale tanzanite one kabla hajajiudhuru na kuanza biashara zake binafsi. Ila ameiba sana kampuni ya tanzanite one, nakumbuka akifanikisha tu kutoka na mzigo alikuwa anaita mastaa wa bongo movies na kufanya anavyowataka.
Hivi kale kasheria ka kwenda jela humu jf vipi itabidi waongeze magerezaa
mwingine ni nani tukiacha kanumba na seki? pole sana lulu na familia ya seki
Mbn atachizika....
Icho kizygot kitaporomoshwa fasta km damu ya mwezini...Hahahahaaaaa. ...hapana chezea watoto wa mujin.
Akishakuw kapi km wema aka tasa aanze kulialia nakutafta makanisa ya ..........mbashalize.....
Una uhakika na ulichopost?...una muhukumu lulu ww kama nan?...lulu ni binadamu kama sisi unategemea atakua katika hali gan wote tukimuandama?..ni vyema kuacha ushabiki usio na maana
hahaha okoa maisha ya nduguyo..
Jifanye kama umepanic hivi alafu nenda straight to his face..
Mwambie mpwa chonde chonde kama hukuyakuta tufanye turudi kijijini kwa bibi kabla hali haijawa mbaya..
acha kuandika kama umechomekwa ndizi matakoni
Du hapo hakijafika hata 30s hadi kifike 40s si itakuwa list ya kusafirishwa kwa mabehewa kadhaa ya trein
jamani hivi kuna ambao huwa hayaoti? lakini itakuwa wapo maana kuna wanaume hawana ndevu.kuna watu jana walisema eti ukiwa na mpenzi ambaye haoti zile nywele za chini a.k.a mavu.zi ni hatari sana...wenza wako watakuwa wanakufa...itabidi haka katoto tukachunguze vizuri...
acha kuandika kama umechomekwa ndizi matakoni
tena mwezi mmoja! april
Kweli?