Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Hapo lazima ujiulize mara mbili, halafu wote vifo vya ghafla. Seki alikua anafanya Tanzanite one, ana mke na watoto hatareeee

Jamani ni ninii hivi lo inasikitishaa aiseee sipati picha maumivu aliyonayo Lulu pamoja na mkewe halaf nasikia amekufa akiwa na mchepuko
 
Yaani ana mke na lulu tena na michepuko mingine????
 
sasa, kama ana mke na watoto, itakuwaje kwenye mirathi ya icho kijacho? hivi wanawake kwanini huwa mnavamia waume za watu?ona sasa.

Haaa ume generalise sio wote wanafanya hivyo... hiyo mimba kweli ipo au ilikua mbwembwee
Mbwembwe zote za hard work pays kumbe kuna the billionaire anafadhili...
 
Jamani ni ninii hivi lo inasikitishaa aiseee sipati picha maumivu aliyonayo Lulu pamoja na mkewe halaf nasikia amekufa akiwa na mchepuko

Mchepuko gani? Mwingine zaidi ya Lulu?
 
Kanavyojiamini kale katoto nyie subirini msikie atakavyo kanusha uhusiano wake na marehemu
 
Haaa ume generalise sio wote wanafanya hivyo... hiyo mimba kweli ipo au ilikua mbwembwee
Mbwembwe zote za hard work pays kumbe kuna the billionaire anafadhili...

hahaaa
hard work pays ....
ndio best shughuli ya pale kitandani kuneng'emuka kiuno mchezooo
kwani....?!!!
 
Hebu leta info zake ndugu yangu maana wewe nakuaminia kwenye sekta hiyo ya habari za kaskazini hasa hao wauza madini.

Alikua amekalia meza y kioo hom kwake mbezi beach ghafla meza ikavunjika kioo kikamkata mshipa mkubwa kwenye paja na kingine kikamchoma tumboni blinding ilikua n kasi hosp wakashindwa okoa maisha yake.ni kifo cha ghafla sana
 
sasa, kama ana mke na watoto, itakuwaje kwenye mirathi ya icho kijacho? hivi wanawake kwanini huwa mnavamia waume za watu?ona sasa.

Huongelei chochote kuhusu huyo mwanaume aliyeacha mkewe na kua na michepuko unawashangaa wanawake tu?
Haya mambo hayana cha wanawake wala wanaume, ni mtu na mtu na tabia zake.
 
Haaa ume generalise sio wote wanafanya hivyo... hiyo mimba kweli ipo au ilikua mbwembwee
Mbwembwe zote za hard work pays kumbe kuna the billionaire anafadhili...

Alikiba alipata bahati nasibu ee
 
Masikini kaka wa watu! Kumbe huyu ndiye aliyekua anampa jeuri eeh?
Haya sasa.

Nakwambia lulu ataliaa weee akimaliza msiba tu kimyakimya atakuja kukanusha kwamba hakuwa na mahusiano na huyo mtu na wala hamjui!!chezea lulu
 
Humu ndani kuna watu wanajifanya wajuaji utadhani ni mademu zake O'Zill
 
Alikua amekalia meza y kioo hom kwake mbezi beach ghafla meza ikavunjika kioo kikamkata mshipa mkubwa kwenye paja na kingine kikamchoma tumboni blinding ilikua n kasi hosp wakashindwa okoa maisha yake.ni kifo cha ghafla sana

Dah masikini! Hapo mbezi beach ndipo anapoishi na mke wake? Maana nasikia alikua na mchepuko!
 
Back
Top Bottom