Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

hahahaaa hahaaaaaa
eeh MUNGU shuka leo maana kufuru zimezidi
na hapo ndo unapoona nguvu ya mke wa ndoa
msibani ht pua haweki
anaishia kujiliwaza home wapiiii
mke mke tu na kimada kimada tu
till death do them apart!!!
Hapo umenena' MKE NI MKE TU, MCHEPUKO UTABAKI MCHEPUKO, ahaa hata msibani hatathubutu kupeleka pua yake.
 
Kufa kila mtu atakufa cku yke ikifika seki kafa ila kuna ki2 kinaonekana kua c shwari ndgu upande w baba n wajomba.cz marehemu kalelewa n uncle wke ndio mana imebidi uncle amzike dodoma alipokulia,kuna vi2 cwezi ongea hpa dunia wote tunapita tu

Ratiba ya mwanzo ilipangwa kuzikwa mbeya, na kwa dar ataagwa jumamosi. Lakin ilivyobadirishwa, hata mm sikuelewa sababu ya msingi! Yote kwa yote tumuombee rafiki yetu kipenzi ampumzike kwa amani.
 
Sina cha kufunguka. Hisia zangu tu. Huyo mkewe alikua anatafuta fursa ampoteze huyo MBWA!!

Na kaipata haswaa. Kwa historia ya Lulu, angekua kichaa asingechukua hatua kustopisha aibu anayoletewa.

Istoshe, mali imeachwa kibao na mazagazaga benki ambayo 24/7 anasema si ya kitoto!

So hakukua na haja huyo mama avumilie hilo ling'ombe. Her silence (plus 'ulokole') has paid her volumes. Lulu ataendelea kutupiwa lawama until forensic ya hiyo 'ajali' ifanyike. Eti meza ya kioo.....

I beg to differ guys...........!!

Natofautiana nawe kidogo, huyo mkewe hawezi fanya hivyo. Kumbuka michepuko inafahamiana na kutambiana, na inawezekana ilijua ni nini Lu.. atafanyiwa kwenye bday yake akafanya kumkomoa yaani tukose wote,
 
Magazeti y udaku ni uwongo mwingi sana istoshe data zao za kusikia c kuona.wolper,aunt n lulu washkaji zake ndio mmoja alikua n uwoya mwingne kma c kajala n madam.cz kuna wakati walikuja arusha kufanya show uchwara wema,aunt,kajala hapo wa2 waligawana fasta mechi mtu analipa cash

Kwa iyo unabisha seki hakuwa namfirigita lulu, husna??
 
Ratiba ya mwanzo ilipangwa kuzikwa mbeya, na kwa dar ataagwa jumamosi. Lakin ilivyobadirishwa, hata mm sikuelewa sababu ya msingi! Yote kwa yote tumuombee rafiki yetu kipenzi ampumzike kwa amani.

Amekulia dom kwa uncle wke ndio mana anazikiwa huko istoshe alikua yatima uncle ndio kamlea.kesho ndio wa2 wengine wanatoka ar kwenda dom
 
duh sad, labda alianza kuvuja damu mahala MRI au ct scan zingesaidia labda kujua tatizo.

Mungu amempenda zaidi, mie siwajui ila tendo la kimada kuongelewa kama ndio alikuwa mke kimenisikitisha sana. wanadi kapewa gaei jana, kama kwel natumaini litachukuliwa likauzwe pesa hizo pia wawekewe watoto wasome vizuri.

Ni kweli amemtesa na aliwasahau familia yake wakaishi kama hawana kitu, na watoto kuumizwa tu sababu ya yeyee kuwa analala nje?

Jamaa alikua anapenda familia yke sana hayo usemayo kua aliwatesa hamna pia vidada vya twn vikijua mtamu lazma vikusafirie kwa babu fasta.yameshatokea katangulia mbele y haki
 
ningependa kujua ni nini kimekufanya useme haikuwa ajali? ma ilipangwa? naona labda mmesha vizungumzia tukio lilikuwaje...vi points please.

Wala siwafahamu. Hisia zangu tu kwa niliyoyasoma na kuona pics za huyo mkewe.

Nimehisi, kaamua kumshkisha adabu huyo seki...... kwa aibu anayomletea.
 
Natofautiana nawe kidogo, huyo mkewe hawezi fanya hivyo. Kumbuka michepuko inafahamiana na kutambiana, na inawezekana ilijua ni nini Lu.. atafanyiwa kwenye bday yake akafanya kumkomoa yaani tukose wote,

Pia inawezekana. This time si Lulu ndo navyoamini. Ila la mkewe namuhisi sana. She looks 'too' innocent...... hao huwa wanajua kuficha hisia sana
 
Kufa kila mtu atakufa cku yke ikifika seki kafa ila kuna ki2 kinaonekana kua c shwari ndgu upande w baba n wajomba.cz marehemu kalelewa n uncle wke ndio mana imebidi uncle amzike dodoma alipokulia,kuna vi2 cwezi ongea hpa dunia wote tunapita tu

Acha woga we funguka icjekua tunamsema seky kumbe limke nalo lilikua cheche
 
Acha woga we funguka icjekua tunamsema seky kumbe limke nalo lilikua cheche

Mkuu ya ndani n mkewe cjui hpo naongelea kumpeleka mbeya isingewezekana.mana marehemu alikua yatima n uncle wke kamlea toka mdogo ndio hayo tu
 
Jamaa alikua anapenda familia yke sana hayo usemayo kua aliwatesa hamna pia vidada vya twn vikijua mtamu lazma vikusafirie kwa babu fasta.yameshatokea katangulia mbele y haki

Vipi mabilionea wa arusha hawajaja kumsindikiza mwenza akina makame, seif na wenzao maana kama nawaona wadada wa mjini walivyojiandaa nao kupata wa kwao ngoja tuone
 
Vipi mabilionea wa arusha hawajaja kumsindikiza mwenza akina makame, seif na wenzao maana kama nawaona wadada wa mjini walivyojiandaa nao kupata wa kwao ngoja tuone

Mabilionea wamekwisha marafiki ndio wako dar toka juzi na wengine wanaenda leo dom
 
Back
Top Bottom