Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

kumbe ndo kabaya hivyo?marehemu alikuwa anahonga mpaka vogue kwa kademu kabaya hivi,kumbe picha za filter zinaficha mengi

Ukimuuliza atakuambia hiyo ni TBT hawa chelewi hawa filter zinawasaidia sana.
 
Mke wangu umetusema sana wanaume mpaka natetemeka. Mchezo wa kuchepuka nimeacha kuanzia leo.

Next weekend tunaenda Dodoma Hotel tuka-renew ndoa yetu. Na nyaraka zote za nyumba yetu Kisasa nakukabidhi.

Duh inatamanisha yawe maneno ya ndoa za ukweli, wanawake wengi watalala vizuri kwa hili.
 
Poor her she looks dejected for the loss of her mchepuko

I hope the baby she is expecting is his? 🙂

Shame on her.

Hapo anagikiria hao aliowaweka kwenye list nani aingie next...

Na labda alikuwa hajachuma vya kutosha

Shame on her hata kujiwekea msiba...panya road
 
It's so sad for now a widow Zawadi Msalla unimaginable sorrow plus bitter rumours going around in town. May the Lord keep you strong as ever. Amen.
 

Attachments

  • 576360_308994625842036_260257342_n.jpg
    576360_308994625842036_260257342_n.jpg
    8.8 KB · Views: 1,017
  • 265718_371978536210311_69224020_o.jpg
    265718_371978536210311_69224020_o.jpg
    67.1 KB · Views: 990
Le Mbururaz msibani...
 

Attachments

  • IMG-20150419-WA0028.jpg
    IMG-20150419-WA0028.jpg
    143.4 KB · Views: 986
  • IMG-20150419-WA0029.jpg
    IMG-20150419-WA0029.jpg
    122.1 KB · Views: 943
  • IMG-20150419-WA0026.jpg
    IMG-20150419-WA0026.jpg
    38.2 KB · Views: 929
It's so sad for now a widow Zawadi Msalla unimaginable sorrow plus bitter rumours going around in town. May the Lord keep you strong as ever. Amen.

Amin! Huyu dada naona anaumia kwa hizi rumours za michepuko kuliko kuondokewa na mumewe!
 
wanaume wa ajabu wanampa pole lulu badala ya kumpa pole mkee halisi wa marehemu

ila siamini kama lulu ana mkosi bali ni matukio ya kawaida
 
Wife kodi zote z nyumba zao ndio alikua anapokea yeye mana marehemu alikua kikazi ar so kuanzia hostel zke dom wife ndio alikua anapokea kodi mana hizo hostel ameweka meneja ndio anasimamia kila ki2 so mama hawezi kuyumba

Afadhali jamani
 
acha kabisa lazima lulu aliomba vogue au porsche ili awakimbize kina murano,sasa Mungu kamuumbua,hata picha za birthday hatujaona,hivi kweli inakuja lulu kufanya birtday ya mdogo wake siku aliyokufa kanumba?aisee ukizingAtia mpaka leo ni yeye peke yake ndo anaejuwa alichomfanya kanumba mpaka akafa.Mama Kanumba aliposikia kifo cha Secky lazima alichekea moyoni

They say karma is a bitch
 
Back
Top Bottom