TANZIA: Mkuu wa Uhamiaji mkoa wa Kagera, Pendo Butenghe afariki dunia

G Sam waambie wawe wanakulipa hata kidogo! Matangazo ya vifo huwa yanalipiwa mkuu. Naona unajitahidi sana kutangaza vifo siku hizi.
 
Yale mataahira ya Lumumba bado yanafanya propaganda kwenye hivi vifo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo sasa Saccos ya Chadema imehamia kwenye kutangaza vifo! Waambie wawe wanawalipa hata kidogo. Redioni na TV matangazo ya vifo huwa yanalipiwa. Pesa hizo sitasaidia angalau kidogo kusaidia matumizi ya Saccos.
 
Decision ya kukataa kuifunga Dar japo kwa wiki 2 mbili ili kucontain gonjwa itatutokea puani. Sasa virus alishasambaa mpaka huko ndanindnai mipakani kama Tunduma, Manyovu, Kaisho n.k. Bunge linapaswa kusimamishwa until further notice.
 
Unategemea nini kama unasikiliza ushauri wa ki-bashite? Jifukize,kusanyika kusali,tusitishane! R.I.P MATE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…