TANZIA: Mkuu wa Uhamiaji mkoa wa Kagera, Pendo Butenghe afariki dunia

TANZIA: Mkuu wa Uhamiaji mkoa wa Kagera, Pendo Butenghe afariki dunia

Imeripotiwa muda mfupi uliopita kuwa Pendo Butenghe ambaye ni Mkuu wa Uhamiaji mkoa wa Kagera amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Akithibitisha kifo hicho, Kaimu Mkuu wa Uhamiaji Kagera, Thomas Fush, amesema marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya kushuka sukari mwilini.

Taarifa rasmi za kilichomuua hazijatolewa.

VIBONGE TUNAKWISHA!
 
Usikute fitina za wahamiaji haramu na ishu za 2020
 
Leo tumeamka na huyu sijui tulala na yupi. Mungu atuepushe waja wake.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Fake news! hakuna kitu kama hicho! Jiji LA kibiashara Dar mambo yanaendelea kama kawaida kwa wenye shughuli za lazima! Ila tahadhari watu wanachukua sana kama vile kuvaa Barakoa na kunawa MAJI yanayotiririka na sabuni kila kona na kila duka na kila kituo!! Ila kwa wasiokuwa na shughuli za lazima wanabaki majumbani!! Msongano kwenye mwendo kasi hakuna tena!! Safi sana!!!!
 
Epuka mikusanyiko na safari zisizo za lazima ili kuepuka maambukizi ya virusi vya CORONA. Kwa maelezo zaidi Piga 199 au 08001100124 kuongea na muhudumu....
Kuna huduma huko? Au ukienda unakimbiwa
 
Back
Top Bottom