TANZIA: Mkuu wa Uhamiaji mkoa wa Kagera, Pendo Butenghe afariki dunia

TANZIA: Mkuu wa Uhamiaji mkoa wa Kagera, Pendo Butenghe afariki dunia

Hivi hizo sayari nyingine wanadamu hawawezi kuishi tufanye mpango wa kwenda huko tukae kwa muda.
 
Imeripotiwa muda mfupi uliopita kuwa Pendo ambaye ni mkuu wa uhamiaji mkoa wa Kagera amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Kabla ya hapo alikuwa ana matatizo ya sukari ila bado taarifa rasmi za kilichomuua hazijatolewa.
Bwashee kumbe unaripoti kutokea pande zote za nchi?........nilidhani Agakhan!
 
TANZIA: Mkuu wa Uhamiaji mkoani Kagera Pendo Butenghe, amefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Rufaa Mkoa - Bukoba, baada ya kuugua kwa muda mfupi. Kaimu Mkuu wa Uhamiaji Kagera, Thomas Fush, amesema marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya kushuka sukari mwilini

Kaimu Mkuu wa Uhamiaji Kagera, Thomas Fush, amesema marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya kushuka sukari mwiliniView attachment 1434180
Siyo shida ya kupumua tena?

R.I.P
 
Natamani magu angedanja kwa hizi changamoto za upumuaji ili watu washike adabu naye azikwe na watu wasiozidi10, mshenzy kabisa huyu jamaa. Ameshindwa kuchukua hatua sitahiki watu wanadondoka tu! Mungu atunusuru kwa kweli!
 
Imeripotiwa muda mfupi uliopita kuwa Pendo Butenghe ambaye ni Mkuu wa Uhamiaji mkoa wa Kagera amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Akithibitisha kifo hicho, Kaimu Mkuu wa Uhamiaji Kagera, Thomas Fush, amesema marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya kushuka sukari mwilini.

Taarifa rasmi za kilichomuua hazijatolewa.

Changamoto ya kupumua hii itatumaliza
 
Back
Top Bottom