Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Tusubiri tuambiwe idadi ya wazikaji,tutapata jibu.Ni changamoto ya upumuaji.?
RIP Pendo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusubiri tuambiwe idadi ya wazikaji,tutapata jibu.Ni changamoto ya upumuaji.?
RIP Pendo.
Ni hatareee, ila kwa vile na kule serekalini imeanza kuwagonga watashika adabu tu!
Arusha na Dar watu wanadondoka balaa like njiwa zimekula folodani*
... hii statement huwa siielewi! Marehemu alikuwa mfanyakazi ofisini; angewezaje kutokwenda ofisini ili abaki nyumbani? Vivyo hivyo kwa wafanyakazi wengine? Tusiwatwishe wananchi mizigo ambayo hawawezi kuibeba tafadhali!Epuka mikusanyiko na safari zisizo za lazima ili kuepuka maambukizi ya virusi vya CORONA. Kwa maelezo zaidi Piga 199 au 08001100124 kuongea na muhudumu....
Ameni[emoji120]Bwana ajuaye kutoa faraja aifariji familia yake kwa msiba huu, Kristo ajapo mara ya pili tutaonana na wapendwa wetu ikiwa walilala ktk Bwana
Bila shaka siyo ya mwisho.
Kwani lazima iwe na mahusiano? Si nimetoa taadhari tuu kuhusu CORONA
Jina ni "Pendo" lakini sura inayoonekana ni ya kiume.Imeripotiwa muda mfupi uliopita kuwa Pendo Butenghe ambaye ni Mkuu wa Uhamiaji mkoa wa Kagera amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Akithibitisha kifo hicho, Kaimu Mkuu wa Uhamiaji Kagera, Thomas Fush, amesema marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya kushuka sukari mwilini.
Taarifa rasmi za kilichomuua hazijatolewa.
Pia yule aliyekuwa WAZIRI wa noti na sarafuShoga yangu hizo sehemu watapeana wenyewe...huoni alivodanja yule waziri Selina kombani akapewa mwanaye?