BigBro
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 3,585
- 11,601
Mbona unapenda Ligi, nimesema sijawahi muona sura yakeUshaambiwa ni baba yake Inatosha. Sio kila familia inapenda maonyesho. Rip baba Kiba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unapenda Ligi, nimesema sijawahi muona sura yakeUshaambiwa ni baba yake Inatosha. Sio kila familia inapenda maonyesho. Rip baba Kiba.
Sent using Jamii Forums mobile app
[QUOTE="Waterloo, post: 30052788, member: 32721"]Inna lillah wayna ilayhi raj'un. Rest in peace dad[/QUOTE][QUOTE="Abunwasi, post: 30052718, member: 16910"]Innalilahi wainna ilahi rraajiun. Mungu awape subira.
Utamuonaje Benet kama sio mtu wa mitandao na media? Nadhani alichagua kujiheshimu.Mbona huyu mzee sikuwahi kumuona beneti na mwanae? Ndo leo naiona sura yake. All in all R.I.P
[QUOTE="Waterloo, post: 30052788, member: 32721"]Inna lillah wayna ilayhi raj'un. Rest in peace dad
Mbona huyu mzee sikuwahi kumuona beneti na mwanae? Ndo leo naiona sura yake. All in all R.I.P
Du! AiseeMbona waja mna maneno? Mama yake Kiba alikuwa akionekana wapi zaidi siku za maandalizi ya harusi na harusi za wanae? Huenda huyu mzee afya haikuwa inaruhusu kufanya mizunguko mingi. by the way pic yuko kwenye ukumbi mmoja kati wa harusi za wanae. au ulitegemea Kiba kamtupa aanze kulia lia kwenye mitandao kama baba yake Naseeb au Domo?
R.I.P Mzee Kiba
Huyu baba (R.I.P) nilimfaham pamoja na mkewe wakati wakisimamia ujenzi wa nyumba ya Kiba. Nilimuona mwenye hekima na mtu asie na makuu. Yamkini kiba amechukua tabia zake.Mbona huyu mzee sikuwahi kumuona beneti na mwanae? Ndo leo naiona sura yake. All in all R.I.P
Ana Id humu ?