TANZIA: Msanii Ali Salehe Kiba afiwa na baba yake mzazi

TANZIA: Msanii Ali Salehe Kiba afiwa na baba yake mzazi

[QUOTE="Abunwasi, post: 30052718, member: 16910"]Innalilahi wainna ilahi rraajiun. Mungu awape subira.
[QUOTE="Waterloo, post: 30052788, member: 32721"]Inna lillah wayna ilayhi raj'un. Rest in peace dad[/QUOTE]

[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/300/300714.jpg?1488477203[/IMG]

feitty
JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2015
rep.png
1,923
like.png
2,215
point.png
280

6 minutes ago New #9

Inna Lillah wa Inna Ilahi Rajiun

Samahani wapendwa, tena narudia samahani. Huwa napenda nitumie hayo maneno kutoa faraja kwa watu wangu wa karibu ambao ni waumini wa dini ya kiislamu wanapopatwa na msiba. Hivi linaandikwaje kwa usahihi. NImeona nyie wote watatu mmeandika tofauti tofauti[/QUOTE]Mimi nimefuta comment yangu na kuandika nyingine baada ya kuhisi nimekosea kuliandika kwa usahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[QUOTE="Waterloo, post: 30052788, member: 32721"]Inna lillah wayna ilayhi raj'un. Rest in peace dad

[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/300/300714.jpg?1488477203[/IMG]

feitty
JF-Expert Member

Joined Jul 10, 2015
rep.png
1,923
like.png
2,215
point.png
280

6 minutes ago New #9

Inna Lillah wa Inna Ilahi Rajiun

Samahani wapendwa, tena narudia samahani. Huwa napenda nitumie hayo maneno kutoa faraja kwa watu wangu wa karibu ambao ni waumini wa dini ya kiislamu wanapopatwa na msiba. Hivi linaandikwaje kwa usahihi. NImeona nyie wote watatu mmeandika tofauti tofauti[/QUOTE]Yote ni sahihi kwamaana ya tafsri yake lakini kwa usahihi zaidi wa kisarufi liandikwe kwa lugha ya kiarabu.hapa tumeandika kwa lugha ya kilatini/ Romani alphabet. Kwahiyo hata mimi sijui usahihi wake ni upi.[/QUOTE]
Does it really matter what are the spelling of the words as long as the meaning is obvious. Unlkess iwe imeandikwa kwa kiarabu sidhani kama namna inavyoandikwa ina matter. Ina Lilahi Waina Ilaihi Rajiuun. Allah awape subra wafiwa.
 
Mbona huyu mzee sikuwahi kumuona beneti na mwanae? Ndo leo naiona sura yake. All in all R.I.P

Mbona waja mna maneno? Mama yake Kiba alikuwa akionekana wapi zaidi siku za maandalizi ya harusi na harusi za wanae? Huenda huyu mzee afya haikuwa inaruhusu kufanya mizunguko mingi. by the way pic yuko kwenye ukumbi mmoja kati wa harusi za wanae. au ulitegemea Kiba kamtupa aanze kulia lia kwenye mitandao kama baba yake Naseeb au Domo?

R.I.P Mzee Kiba
 
Du! Aisee
 
Back
Top Bottom