Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli hata baba na Mama yako pengine wote kwa pamoja hata kesho....
Wewe
Yamekushinda walahi
Ulitaka achuane na mwanae kuchukua dogodogo kama anavyofanya yule mama wa tandale?Mbona huyu mzee sikuwahi kumuona beneti na mwanae? Ndo leo naiona sura yake. All in all R.I.P
[QUOTE="Waterloo, post: 30052788, member: 32721"]Inna lillah wayna ilayhi raj'un. Rest in peace dad[/QUOTE][QUOTE="Abunwasi, post: 30052718, member: 16910"]Innalilahi wainna ilahi rraajiun. Mungu awape subira.
[QUOTE="Waterloo, post: 30052788, member: 32721"]Inna lillah wayna ilayhi raj'un. Rest in peace dad[/QUOTE][QUOTE="Abunwasi, post: 30052718, member: 16910"]Innalilahi wainna ilahi rraajiun. Mungu awape subira.
Ile ta Tabataba saneneHuyu baba (R.I.P) nilimfaham pamoja na mkewe wakati wakisimamia ujenzi wa nyumba ya Kiba. Nilimuona mwenye hekima na mtu asie na makuu. Yamkini kiba amechukua tabia zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee hakuwa limbukeni ulitaka na yeye awe anaenda shoo! Mafanikio ya mwano sio yako!Mbona huyu mzee sikuwahi kumuona beneti na mwanae? Ndo leo naiona sura yake. All in all R.I.P
ulitaka umwoneje? Unafikiri ni familia zote zinapenda show off mkuuMbona huyu mzee sikuwahi kumuona beneti na mwanae? Ndo leo naiona sura yake. All in all R.I.P