TANZIA: Msanii Ali Salehe Kiba afiwa na baba yake mzazi

TANZIA: Msanii Ali Salehe Kiba afiwa na baba yake mzazi

[QUOTE="Abunwasi, post: 30052718, member: 16910"]Innalilahi wainna ilahi rraajiun. Mungu awape subira.
[QUOTE="Waterloo, post: 30052788, member: 32721"]Inna lillah wayna ilayhi raj'un. Rest in peace dad[/QUOTE]

[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/300/300714.jpg?1488477203[/IMG]

feitty
JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2015
rep.png
1,923
like.png
2,215
point.png
280

6 minutes ago New #9

Inna Lillah wa Inna Ilahi Rajiun

Samahani wapendwa, tena narudia samahani. Huwa napenda nitumie hayo maneno kutoa faraja kwa watu wangu wa karibu ambao ni waumini wa dini ya kiislamu wanapopatwa na msiba. Hivi linaandikwaje kwa usahihi. NImeona nyie wote watatu mmeandika tofauti tofauti[/QUOTE]
ni INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RAAJIU'N(sisi ni wa MWENYEZI MUNGU na kwake ni marejeo yetu)
 
[QUOTE="Abunwasi, post: 30052718, member: 16910"]Innalilahi wainna ilahi rraajiun. Mungu awape subira.
[QUOTE="Waterloo, post: 30052788, member: 32721"]Inna lillah wayna ilayhi raj'un. Rest in peace dad[/QUOTE]

[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/300/300714.jpg?1488477203[/IMG]

feitty
JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2015
rep.png
1,923
like.png
2,215
point.png
280

6 minutes ago New #9

Inna Lillah wa Inna Ilahi Rajiun

Samahani wapendwa, tena narudia samahani. Huwa napenda nitumie hayo maneno kutoa faraja kwa watu wangu wa karibu ambao ni waumini wa dini ya kiislamu wanapopatwa na msiba. Hivi linaandikwaje kwa usahihi. NImeona nyie wote watatu mmeandika tofauti tofauti[/QUOTE]Lugha za watu hizo, ujumbe (ambao ndiyo lengo) unafika hata kwa Kiswahili!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inna lillah wa inna illah rajiun.Pole kwa ndugu,jamaa, marafiki na wote walioguswa kwa namna moja ama nyingine na msiba huu allah awape nguvu.
 
Back
Top Bottom