Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
[QUOTE="Waterloo, post: 30052788, member: 32721"]Inna lillah wayna ilayhi raj'un. Rest in peace dad[/QUOTE][QUOTE="Abunwasi, post: 30052718, member: 16910"]Innalilahi wainna ilahi rraajiun. Mungu awape subira.
Naona kuna mtu kagonga copy ID ya ISIS,Ni kweli hata baba na Mama yako pengine wote kwa pamoja hata kesho....
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi kukuambia juu ya hiyo avatar yako, nadhani leo umeamini maneno yangu, anyway tupo kwenye msiba
Kwangu si busara kueleza inavyochanganya, ila tambua tu inachanganya kweli? Aha! Inaonekana pia kuna wengine wamekulalamikia hilo! Basi jua inasumbua hasa!
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwangu si busara kueleza inavyochanganya, ila tambua tu inachanganya kweli? Aha! Inaonekana pia kuna wengine wamekulalamikia hilo! Basi jua inasumbua hasa!
Sent using Jamii Forums mobile app