TANZIA: Msanii Ali Salehe Kiba afiwa na baba yake mzazi

TANZIA: Msanii Ali Salehe Kiba afiwa na baba yake mzazi

Innalillah wainna illah raji'un.
Pole sana King Kiba kwa kuondokewa na baba.
Pole familia kwa ujumla hasa mama.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
[QUOTE="Abunwasi, post: 30052718, member: 16910"]Innalilahi wainna ilahi rraajiun. Mungu awape subira.
[QUOTE="Waterloo, post: 30052788, member: 32721"]Inna lillah wayna ilayhi raj'un. Rest in peace dad[/QUOTE]

[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/300/300714.jpg?1488477203[/IMG]

feitty
JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2015
rep.png
1,923
like.png
2,215
point.png
280

6 minutes ago New #9

Inna Lillah wa Inna Ilahi Rajiun


Samahani wapendwa, tena narudia samahani. Huwa napenda nitumie hayo maneno kutoa faraja kwa watu wangu wa karibu ambao ni waumini wa dini ya kiislamu wanapopatwa na msiba. Hivi linaandikwaje kwa usahihi. NImeona nyie wote watatu mmeandika tofauti tofauti[/QUOTE]Innalillah wainna illah raji'un.
(kwake tumetoka na kwake ndio marejeo yetu)

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
Pole kwa wanafamilia ndugu jamaa, marafiki na mashabiki wa music wa King music.
R.I.P Mzee wetu.
 
Back
Top Bottom