Tanzia: Msanii wa Bongo Fleva, Noorah afiwa na mkewe

Kuna point hapa...pengine haijatimia dakika hiyo ....pia kwa picha hii bado naamini ana afya njema .....

nifah ndio ulisema ulimuona noorah kwenye msiba wa mez b hali yake si nzuri? ifike mahali tuwe tunatoa taarifa za kweli wanajf na sio kuandika unafiki tu. jinsi ulivyoandika ilikuwa nikama jamaa hatafika mwezi wa sita atakuwa amekufa..... watu wana majungu jamani sijawahi kufikiri kuwa nifah ni mtu mbaya kiasi hiki.
Mungu akuponye Noorah
 
Last edited by a moderator:

nifah mwenyewe anaishi magomeni unategemea nini, tumsamehe tu ni stress za ndoa zinamtesa
 
Last edited by a moderator:
Mke wake alikua anaumwa Asthma na ndio iliyomsababishia kifo chake... kabla umauti haujamkuta alibanwa na Asthma wakampeleka hospital lakini akawa hawezi kupumua vizuri.. akapelekwa ICU na kuwekewa mipira ya oxygen... ndio umauti ukamfikia hali ilizidi kuwa mbaya.

Back to Noorah mwenyewe hali yake si nzuri ni kama mtu aliekata tamaa na anasubiri siku yake ifike tu... wakati wa msiba alikua kila baada ya dakika kadhaa anazimia... hii ni kutokana na ajali aliyoipata.. msibani walizika kwao mwanamke yeye mwenyewe alienda mwenyewe hakuna wa kumsindikiza wala nini.. alikua yeye na begi lake... kiukweli anasikitisha.. sio noorah wa ice cream yule tuliekuwa tunambua (naupenda huu wimbo hadi leo) yeye mwenyewe analia marafiki zake Ngwair, Mez B wameondoka, rafiki wa karibu aliebakiwa mkewe amefariki kabaki mwenyewe.. Inshort hali yake si nzuri
 
Daah aisee kweli assumption mbaya na Mungu naomba unisamehe kwahilo maana nilishafikiri Gonjwa kubwa lile, na hii ni kutokana na watu kusema na kuandika habari kama kweli vile wamemuona hali yake ilivyo kumbe mtu yupo poa kabisa.
 

Matatizo ni sehemu ya maisha bt kuna wakti yanakua mengi mpka unaweza kua mwehu au kuishia kujiua,noorah asikate tamaa kwa muumba kila ki2 kinawezekana akipata matibabu mazuri atapona n maisha yatasonga.nini chanzo haswa cha huo ugonjwa pia unaweza kuta ni degedege la ukubwani mana hutokea
 
Hope Baba styles atayashinda yote haya.

Jamaa ni mtu Poa sana
 
kuna wasanii wengi wa mziki hawasikiki waweza dhani wapo bize wanafanya mambo mengine kumbe wanapambana na maumivu ya mwili na roho. pole sana noorah.
 
Swala la ugonjwa wa Noorah linanisikitisha sana...hivi sisi kama jamii hatuwezi kusaidia lolote afya yake irejee?
Umezinote vizuri hints za wachangiaji wengi humu? Ushauri ni waache kabisaa" hizi mambo"!
 
kuna wasanii wengi wa mziki hawasikiki waweza dhani wapo bize wanafanya mambo mengine kumbe wanapambana na maumivu ya mwili na roho. pole sana noorah.

yani hii nimeitafakari nikacheka kama mazuri...it is very true BTW
 
haya bwana mtoto wa msasa, mzee wa complex, pole saana haji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…