TANZIA: Msanii wa Uganda, Moses Sekibooga a.k.a Radio afariki dunia

Jamani May his soul rest in Peace, nilikuwa namkubali sana na yule mwenzake
 
Radio hakuwa mdogo wa Chamillion
 
pole sana kwa hao watoto wake wote aliowaacha aisee..
na huko anakoenda ajiepushe kufanya fujo pia.
 
R.I.P Radio, me napenda ile Nakwamini nakudataaa Omutima gwange .........
 
Daaaaa Radioooo. Nitakukumbuka kwa nyimbo kibao aisee. Hellena, bread and butter, nyambula, nakudata, na nyingine nyingi. Mungu akulaze jinsi apendavyo yeye. Amina.
 
Umechanganya mafaili
 
Umechanganya mafaili
 
Acha unafiki ulikuwa unampenda mbona haukuwahi kupost post yoyote ya kuonyesha unampenda enzi za uhai wake,ndio maana kuna mistari ya marehemu langa kileo aliandika usisubiri mpaka nife ndio ukubari am the best
Kwan kumkubali mtu mpk umumpost je kipindi hazikuwepo izi mitandao walikuwa wanafanyaje....
 
VIDEO ya mwili wa radio ukitolewa case clinic hospital kuelekea mochwari

 
rest in peace we Gonna mic u Radio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…