Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini marehemu alikuwa na historia ya ugomvi ugomvi sana, hasa kwenye mabaa, mara nyingi tu ameshashikiliwa na polisi. Mara nyingine amewakimbia polisi...yani hii safari hii ni bahati mbaya tuHuyo aliyesababisha jamaa akafa nadhani hata familia yake imekata tamaa ya kuja kumuona tena,atanyongwa hadi kufa(nawaza kwa sauti).
AMENDah! Apumzike kwa amani, so sad!
Dource ni ugomvi club, hao wengine wote kanjanja tuMillard ayo anasema ajali, clouds fm na Jf wanasema ugomvi, jaman tz sources zina kanganya.
hii ngoma ilihiti sanaRIP radio nakukumbuka kwenye nyimbo ya ability hii Ngoma ndio Ngoma niliyo iskiza kwa kurudia rudia mara nyingi kuliko Ngoma zote dunian nikiwa nipo juu ya ghorofa la sita hostel ya makelele iliyopo njia ya kwenda mukono .......nikiwa naliona jiji la kampala kwa chini daaah inatia uzuni
sawa mkuuDah masikini pole yao
Kweli unachokipenda ndicho kitakachokuua......!na juzi daktar aliyekuwa anamhudumia aliutangazia umma kwamba dawa wanazompa na drip wanazomwekea hazifanyi kazi kwa sababu ya matumizi ya kiwango kikubwa ya kilevi aina ya shisha.
hiyo ni BREATH AWAY ngoma hatari sn"I can be African Michael Jackson"....one of his line....daaah rest in peace brother
Pombe haikunyanyua kitu kizito na kumpiga nacho marehemu mkuu. Binadamu ndio m'baya, sababu binadamu ndiye alitenda hilo kosa. Usiichumie pombe dhambi kamanda.Pombe mbaya, inasababisha maovu mengi sana
NA ALIKUA ANAGOMBANA SANA NA TRAFIK BARABARANIKwa tabia hiyo ya kwenda kufanya fujo club, wacha afe tu. Msanii ni Kiongozi, anatakiwa kuwa na tabia nzuri katika jamii, hata kama kacholozwa, kaonewa au kutukanwa hatakiwa kuchukua hatua mkononi, bali kwenda kutoa taarifa kwa Mamlaka husika.