mnyalukolokwetu
Senior Member
- Jan 10, 2016
- 156
- 40
Mkuu kama umesoma vizuri uzi,mleta uzi kasema kua alikua muigizaji wa vichekeshoAlikuwa ni nani?
Si rahisi kumjua kila binadamu katika ulimwengu huu.Cha msingi mtakia mapumziko mema tu.I do not know him
Si umeambiwa muigizaji wa filamu za vichekesho au hujamalizia kusoma uzi hadi mwisho?Hili ndo tatizo la watanzania wengi uvivu wa kujisomea.Alikuwa ni nani?
Sasa unataka watu wasemeje au waweke Emoji za kulia ndo utaona wameguswa?Yani watu wanavyocomment kwenye taarifa za misiba yani utafkr cjui ni taarifa gani sijui..
tunachukulia poa mno misiba cku izi
Maneno ya hekima na si dhihakaSasa unataka watu wasemeje au waweke Emoji za kulia ndo utaona wameguswa?
Apumzike kwa Amani