Tanzia: Msanii wa vichekesho, "KIinyambe" afariki dunia huko Mbeya

Tanzia: Msanii wa vichekesho, "KIinyambe" afariki dunia huko Mbeya

Ukaribu wa kifo na mwanadamu ni zaidi ya unyayo wake sori ya kiatu chake.......maisha ya mwanadamu ni mafupi sana kama mshumaa kwenye upepo mkali.....hakuna ajuaye hata nukta ya wakati wake ujao.......tunakula ,tunapumua, tunalala ,tunaamka, tunaendesha vyombo vya moto, tunapanga mipango ya muda mrefu kwenye maisha yetu....yote haya tunayafanya si kwa ujanja wetu bali ni kwa NEEMA TU....

Wanadamu tuishi kwa UPENDO NA AMANI ILI TUWE NA MWISHO MZURI......
 
Back
Top Bottom