OkaySi umeambiwa muigizaji wa filamu za vichekesho au hujamalizia kusoma uzi hadi mwisho?Hili ndo tatizo la watanzania wengi uvivu wa kujisomea.
Ila Mimi kiukweli sikuwa shabiki wake sababu nilikuwa sivutiwi na alivokuwa anaigiza.
anyway, RIP kinyambe.
Apumzike kwa amaninakumbuka msemo wake "eti umeniloga kwa mganga au umeniloga mwenyewe?"
Basi sawa.We si shabiki wa Ray.
Msalimie kadala11
mbeyaMsiba uko wapi?
kafariki kijana unataka picha akiwa ndani ya jeneza ama?Jaman tuataka udhibifisho