Tanzia: Msanii wa vichekesho, "KIinyambe" afariki dunia huko Mbeya

Tanzia: Msanii wa vichekesho, "KIinyambe" afariki dunia huko Mbeya

dah aisee Maisha mafupi saana jamaa namkubali sana yani hata kabla hajaongea unaweza jikuta unacheka tu jins anavyocheza na sura yake. R.I.P KINYAMBE
 
nisiwe mnafiki sijawahi kumuona popote.... but. namtakia safari njema
 
R.I.P Kinyambe tulikupenda ila Mungu amekupenda zaid. Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe. Amina
 
Back
Top Bottom