Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Mimi kiukweli sikuwa shabiki wake sababu nilikuwa sivutiwi na alivokuwa anaigiza.
anyway, RIP kinyambe.
Mkuu unaonaje ungebadlsha kwnz avatar af ndo uandke RIPR.I.P Kinyambe
Mchekeshaji aliyekuwa anakuja juu kwa kasi Mohammed Abdallah "KINYAMBE" amefariki dunia leo usiku huko nyumbani kwao Mbeya.
Mmoja wa wanandugu wa Kinyambe ameithibitisha kuwa, msanii huyo wa filamu ambaye pia alikuwa akijulikana kwa jina la James, amefariki baada ya kuugua kwa siku kadhaa.
View attachment 346770
huamini nn sasa....au ulitaka alikiba ndo uamini??Bado mimi sijaamini mwenye taarifa zaidi atujuze
Pole kwa kufiwa.Mimi nilikuwa shabiki wake namba 1 kwa kweli, penda sana kazi zake mimi!!
Omboleza taratibu, usikufuru.dah nilikua napenda style yake ya uigizaji. nimesikitika sana. ule mzimu unaomaliza wasanii naona umerudi. R.I.P Kinyambe
Mzungu au Zumbukuku...c kujifanya mzungu