Tanzia: Msanii YP wa kundi la 'Wanaume TMK' afariki dunia


Asante sana mpendwa umemaliza kila kitu ubarikiwe na YESU KRISTO WA NAZAREZI ALIYE HAI.
 
Duniani tu wapita njia tu - kalale pema peponi kamandaaa....kalale pema peponi kamandaaaa....
 
Kaka ile ngoma yake na Y-Dash inaitwa Shemsa....ilikuwa na maneno " Hukunipenda mi ulipenda pesa"
 
Tetes ni kwamba msanii wa bongo frever YP nikweli? mlioko temeke mtujuze,na alikuwa anaumwa nini!

Souce-mitandao ya kijamii.

ukiona sababu za kifo haziko wazi we jiongeze tu kwa kuangalia mwenendo wa maisha ya marehem miaka ya karbuni.mi nahis sigara na bange japo wapo wanaodai ni h.i.v
 
ukiona sababu za kifo haziko wazi we jiongeze tu kwa kuangalia mwenendo wa maisha ya marehem miaka ya karbuni.mi nahis sigara na bange japo wapo wanaodai ni h.i.v
Jamaa alikuwq na TB. Ukweli ni kuwa Jamaa alikuwa anabugia mapombe makali ya kienyeji na ya kiwandani. Mbaya zaidi alikuwa anavuta sana sigara na bangi(hii ya bangi naithibitisha) sasa ukiwa na TB na mwenendo ukawa hivyo ni lazima utaondoka tu. Kwamba jamaa alikuwa na HIV hilo siwezi kulithibitisha maana kwa siku za sasa kumjua mwathirika kwa macho ni ngumu sana
 


ebwana namsikiliza zembwela hapa kwenye supamix ndio amesema.

Yp ni msanii wa wanaume tmk aliyeimba kwenye dar mpaka moro akishilikiana na temba na chege au kwenye wimbo wa twenzetu akiwa na temba na chege.



r.i.p yp..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…