Tanzia: Msanii YP wa kundi la 'Wanaume TMK' afariki dunia

Tanzia: Msanii YP wa kundi la 'Wanaume TMK' afariki dunia

yeah nimeambiwa na jamaa yangu wa tmk kuwa ni kweli sembe litawamaliza vijana wa bongo

r.i.p yp...jamaa alikua na ngoma demu wake alishafariki.

nimekaa na yp mara kibao na ingawaje sikuwahi kuhisi kwamba anaugua kifua lakini sasa ndo unanifungua macho... Ni kweli alikuwa na dalili zote za mtu mwenye matatizo ya chest.

mБФИД hДmЦΞlΞЩΞҜi? Иi sΞmБΞ ДЦ ИgФmД ДЦ ИgЩΞИgЩΞ iliУФmЦФИdФД?
 
YP.jpg


Ebwana namsikiliza Zembwela hapa kwenye supamix ndio amesema.

YP ni msanii wa wanaume TMK aliyeimba kwenye Dar mpaka Moro akishirikiana na Temba na Chege au kwenye wimbo wa twenzetu akiwa na Temba na Chege.

Apumzike kwa aman
 
​Hivi na wale wengine Mheshimiwa Temba na Juma Nature bado wako hai? Mwenye taarifa zao atujuze tafadhali.
 
Daaah! R. I. P. Naikumbuka ile ngoma inayokwenda kwa jina la "UMEWAONA" huwa naikubali sana
 
Hapa bana ndio waBongo utawajua tuu kila mtu atasema lake,,mara TB mara UKIMWI mara pombe mara Bange mara unga.
Utumie usitumie vyote hivi takufa tuu... Kikubwa pumzika kwa Amani
 
Pumzika msela ikibidi...
Pumzika msela inapobidi..
Pumzika msela.......

R.I.P Y-P
 
Halafu kama kumbukumbu zangu zipo sawa, nadhani hata ile pini ya Y-Dash waliimba wote sema ndo hivyo tena... cjui inaitwa Hamisa ile, manake dah, long time!

Shemsa,

Hukunipenda ulipenda Pesa,
Ungenipenda usingejali visa,
Binadamu visaaa,
wana mapenzi ya hisaaa
 
Back
Top Bottom