Tanzia: Msanii YP wa kundi la 'Wanaume TMK' afariki dunia

Tanzia: Msanii YP wa kundi la 'Wanaume TMK' afariki dunia

ukiona sababu za kifo haziko wazi we jiongeze tu kwa kuangalia mwenendo wa maisha ya marehem miaka ya karbuni.mi nahis sigara na bange japo wapo wanaodai ni h.i.v

Iwe bange ama chang'aa haijalishi kifo ni kifo tu

Kila kiumbe kitapitia woooy 😱😱😱😱hakuna haja ya kumsemea marehemu ni kumuombea hatujui siku wala SAA Israeli anapita kwetu tunajisahau sana rip yp
 
Ungemaliziakuwa sio vema kutangaza siri za mrehemu, sababu aliotembea nao watashindwa kuusambaza. Hivyo ni vema asitoe siri ili wengi waukwae au sio?

Mtajimaliza sana huko kwenye ulimwengu wa kiza, si hamtaki ukweli?

Wewe kesho tu tunakuzika tena kaburi futi nane kwenda chini kwa Ebola
 
Iwe bange ama chang'aa haijalishi kifo ni kifo tu

Kila kiumbe kitapitia woooy 😱😱😱😱hakuna haja ya kumsemea marehemu ni kumuombea hatujui siku wala SAA Israeli anapita kwetu tunajisahau sana rip yp

Heri wafu wafao katika Bwana maana ndio watakao uona ufalme wa Mbinguni kesheni mkiomba maana hamjui siku wala saa atakayokuja mwana wa Adamu kuja kuchukuwa kilichokuwa chake na ni Heri uokoke ukifa ukute wokovu haupo kuliko uache ukifa ukute wokovu upo lipi jema kati ya hayo chaguo nilako maana kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe siku ya hukumu lakini kwa tulio hai leo yatupasa tukumbushane kumcha Mungu ndicho chanzo cha Maarifa.
 
RIP YP. nakumbuka kile kipande cha wimbo wako na ya dash cha pumzika "NI YP NA Y DASH WANANUKIA MAARASHI LAKINI SIO KWAMBA MAMBO YAO YAKO SAFIII IIII..."
 
Heri wafu wafao katika Bwana maana ndio watakao uona ufalme wa Mbinguni kesheni mkiomba maana hamjui siku wala saa atakayokuja mwana wa Adamu kuja kuchukuwa kilichokuwa chake na ni Heri uokoke ukifa ukute wokovu haupo kuliko uache ukifa ukute wokovu upo lipi jema kati ya hayo chaguo nilako maana kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe siku ya hukumu lakini kwa tulio hai leo yatupasa tukumbushane kumcha Mungu ndicho chanzo cha Maarifa.
Ndo ulivomaanisha earlier!sikupingi,ila jinsi ulivofikisha ujumbe!Ulikua naye kabla hajakata roho??ulijua mwenendo wake kabla ya kifo chake?Mungu sio baba yako peke yako!!
 
Heri wafu wafao katika Bwana maana ndio watakao uona ufalme wa Mbinguni kesheni mkiomba maana hamjui siku wala saa atakayokuja mwana wa Adamu kuja kuchukuwa kilichokuwa chake na ni Heri uokoke ukifa ukute wokovu haupo kuliko uache ukifa ukute wokovu upo lipi jema kati ya hayo chaguo nilako maana kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe siku ya hukumu lakini kwa tulio hai leo yatupasa tukumbushane kumcha Mungu ndicho chanzo cha àaaMaarifa.

Nani kakwambia hakuwa mcha mungu acheni kujifanya wajuaji
 
Hahahaaaaa nilijua tu utakuja na off topic

No, sometimes naona kama unachanganya mambo, umesema nimeleta umbea kwenye msiba, sasa msiba wenyewe uko wapi? Msiba upo kwao marehemu uko sio humu JF.
 
No, sometimes naona kama unachanganya mambo, umesema nimeleta umbea kwenye msiba, sasa msiba wenyewe uko wapi? Msiba upo kwao marehemu uko sio humu JF.

Hii thread inahusu nini?
 
Hakuna anayemhukumu ila tupo wengi ila ukweli hatuutaki .
Ukweli hamuutaki wewe na nani?Wewe ndo umemuhukumu marehemu!au ulipewa ndoto kule anakoelekea ni mahala gani??wewe utaishi milele kwa kuwa mtakatifu??
 
Nimekaa na YP mara kibao na ingawaje sikuwahi kuhisi kwamba anaugua kifua lakini sasa ndo unanifungua macho... ni kweli alikuwa na dalili zote za mtu mwenye matatizo ya chest.

Chest ndo kifua kikuu kumbe!
 
Back
Top Bottom