Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukiona sababu za kifo haziko wazi we jiongeze tu kwa kuangalia mwenendo wa maisha ya marehem miaka ya karbuni.mi nahis sigara na bange japo wapo wanaodai ni h.i.v
Ungemaliziakuwa sio vema kutangaza siri za mrehemu, sababu aliotembea nao watashindwa kuusambaza. Hivyo ni vema asitoe siri ili wengi waukwae au sio?
Mtajimaliza sana huko kwenye ulimwengu wa kiza, si hamtaki ukweli?
Kwa iyo ukiminus vyote ivo unaishi milele!poor mindPombe+bange÷dhambi=Umauti
Iwe bange ama chang'aa haijalishi kifo ni kifo tu
Kila kiumbe kitapitia woooy 😱😱😱😱hakuna haja ya kumsemea marehemu ni kumuombea hatujui siku wala SAA Israeli anapita kwetu tunajisahau sana rip yp
hata bila ivyo lazima mauti yakufike,hakuna mwenye hati miliki ya uhaiPombe+bange÷dhambi=Umauti
Unaelewa maana yake?we utazikwa na wafu au misukule?acha wafu wazike wafu wao
Ndo ulivomaanisha earlier!sikupingi,ila jinsi ulivofikisha ujumbe!Ulikua naye kabla hajakata roho??ulijua mwenendo wake kabla ya kifo chake?Mungu sio baba yako peke yako!!Heri wafu wafao katika Bwana maana ndio watakao uona ufalme wa Mbinguni kesheni mkiomba maana hamjui siku wala saa atakayokuja mwana wa Adamu kuja kuchukuwa kilichokuwa chake na ni Heri uokoke ukifa ukute wokovu haupo kuliko uache ukifa ukute wokovu upo lipi jema kati ya hayo chaguo nilako maana kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe siku ya hukumu lakini kwa tulio hai leo yatupasa tukumbushane kumcha Mungu ndicho chanzo cha Maarifa.
Wewe kesho tu tunakuzika tena kaburi futi nane kwenda chini kwa Ebola
Dawa zimeisha vipi kuna mtu unataka umpatieee
Heri wafu wafao katika Bwana maana ndio watakao uona ufalme wa Mbinguni kesheni mkiomba maana hamjui siku wala saa atakayokuja mwana wa Adamu kuja kuchukuwa kilichokuwa chake na ni Heri uokoke ukifa ukute wokovu haupo kuliko uache ukifa ukute wokovu upo lipi jema kati ya hayo chaguo nilako maana kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe siku ya hukumu lakini kwa tulio hai leo yatupasa tukumbushane kumcha Mungu ndicho chanzo cha àaaMaarifa.
Loooh!!!hadi kwenye msiba unaleta umbea????
​Mlee mtoto akue kwanza huyo, baadae ndio tutapiga stori.
Nani kakwambia hakuwa mcha mungu acheni kujifanya wajuaji
Hahahaaaaa nilijua tu utakuja na off topic
No, sometimes naona kama unachanganya mambo, umesema nimeleta umbea kwenye msiba, sasa msiba wenyewe uko wapi? Msiba upo kwao marehemu uko sio humu JF.
Ukweli hamuutaki wewe na nani?Wewe ndo umemuhukumu marehemu!au ulipewa ndoto kule anakoelekea ni mahala gani??wewe utaishi milele kwa kuwa mtakatifu??Hakuna anayemhukumu ila tupo wengi ila ukweli hatuutaki .
Nimekaa na YP mara kibao na ingawaje sikuwahi kuhisi kwamba anaugua kifua lakini sasa ndo unanifungua macho... ni kweli alikuwa na dalili zote za mtu mwenye matatizo ya chest.