GANJA ROLLER
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 709
- 273
ukiona sababu za kifo haziko wazi we jiongeze tu kwa kuangalia mwenendo wa maisha ya marehem miaka ya karbuni.mi nahis sigara na bange japo wapo wanaodai ni h.i.v
Haina haja ya kuja hapa kutangaza siri za marehemu, familia yake ikiona inafaa inaweza kutangaza mambo kama hayo
Kweli kabisa mi namjua Domo na kiba tu
Pombe+bange÷dhambi=Umauti
wewe mtakatifu utaishi milele ?
Naona yeye mwenzetu kwao hawafi
E bana biashara ile inakwendaje?
E bana biashara ile inakwendaje?
huyu dogo amelindwa sana na Mungu alitakiwa unga umsepeshe kabla ya ngwer
Kwa hiyo na yeye ataagwa leaders club? KIKwete kuna msiba jiandae kuhudhuria!
Tetes ni kwamba msanii wa bongo frever YP nikweli? mlioko temeke mtujuze,na alikuwa anaumwa nini!
Souce-mitandao ya kijamii.
kauli ngumu sana hii aisee!!
Pombe+bange÷dhambi=Umauti
unaniangusha ujue
YP,Y DASH,PINGU NA DESO
RIP