Tanzia: Msanii YP wa kundi la 'Wanaume TMK' afariki dunia

Tanzia: Msanii YP wa kundi la 'Wanaume TMK' afariki dunia

Haina haja ya kuja hapa kutangaza siri za marehemu, familia yake ikiona inafaa inaweza kutangaza mambo kama hayo

Ungemaliziakuwa sio vema kutangaza siri za mrehemu, sababu aliotembea nao watashindwa kuusambaza. Hivyo ni vema asitoe siri ili wengi waukwae au sio?


Mtajimaliza sana huko kwenye ulimwengu wa kiza, si hamtaki ukweli?
 
Onga akarukie kwanja akhera huko ndo kwenye makwanja ya ukweli.
 
Sina uwezo wa kung'amua sauti yake kwenye nyimbo, but nimeshazoea kusikia majina Y dash na Y p............RIP Y P......umetangulia, tupo nyuma yako.
 
Back
Top Bottom