King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
- Thread starter
-
- #161
yeah nimeambiwa na jamaa yangu wa tmk kuwa ni kweli sembe litawamaliza vijana wa bongo
r.i.p yp...jamaa alikua na ngoma demu wake alishafariki.
nimekaa na yp mara kibao na ingawaje sikuwahi kuhisi kwamba anaugua kifua lakini sasa ndo unanifungua macho... Ni kweli alikuwa na dalili zote za mtu mwenye matatizo ya chest.
Ebwana namsikiliza Zembwela hapa kwenye supamix ndio amesema.
YP ni msanii wa wanaume TMK aliyeimba kwenye Dar mpaka Moro akishirikiana na Temba na Chege au kwenye wimbo wa twenzetu akiwa na Temba na Chege.
Ugonjwa huu umekaa pabaya jamani
Una uhakika na jambo unalosema?
Mungu aulaze mwili wa marehemu mahali pema peponi.Amina
Mwili utalazwa na wazikaji sio mungu.
​Hivi na wale wengine Mheshimiwa Temba na Juma Nature bado wako hai? Mwenye taarifa zao atujuze tafadhali.
Nataka nijifunze ujasilimali.
Daaah huyu jamaa tulikua tunashare demu mmoja lakini leo amevuta mmmh kweli maisha mafupi... RIP
Kapimwe mapema kama vipi uanze dozi na wewe.
Halafu kama kumbukumbu zangu zipo sawa, nadhani hata ile pini ya Y-Dash waliimba wote sema ndo hivyo tena... cjui inaitwa Hamisa ile, manake dah, long time!