TANZIA: Mtoto wa Rose Nungu (Munalove) Patrick Peter Zacharia Komu (Partsmartboy) Afariki dunia

TANZIA: Mtoto wa Rose Nungu (Munalove) Patrick Peter Zacharia Komu (Partsmartboy) Afariki dunia

Munalove ni nani?
Muna ni Maimuna ambaye alipofika mjini akiwa amepauka kama goti la kilema, baada ya kudeki sura dipo akajibatiza jina la MunaLove, then akafahamiana na Wema Sepenga kabla hajamuibia Chupi iliosababisha akawa maarufu.
Ila naskia baadae alikuja kuokoka, na akaanza mchakato wa kwenda China kuondoa Tattoo zilizo mjaa mwilini enzi hizo alipo pokelewa mjini na Peter...

Kwaleo naomba niishie hapa tafadhali.... tehteehhh
 
Binafsi nimesikitishwa sana na kifo cha Malaika huyu, hakika Dunia hii ina mengi ya kuhuzunisha. Mwenyezi Mungu ampumzishe mahali pema Ameen.
Pamoja na yote naomba kutoa mtazamo wangu juu ya yale yanayoendelea huku mtandaoni hasa baada ya kuona kila mmoja akimtupia shutuma na lawama mzazi wa kiume wa mtoto huyu. Nawaomba watanzania tuache kuwa na mihemko kwani jambo hili si la kukurupuka tu na kumtukana mtu bila kutafuta ukweli uliojificha nyuma ya tukio lenyewe.
Tunamshutumua na kumuhukumu Casto Dickson kwakuwa hatujui au kwa makusudi tumeamua kupuuza kilichokuwa kinaendelea kati yake na mzazi mwenzie. Mama wa mtoto alijitahidi sana kumuadhibu mzazi mwenzie kwa kutengeneza 'gape' kati ya baba na mtoto na hilo ni kosa kubwa sana ambalo wanawake hupenda kulifanya kwa wazazi wenzao waliotengana. Casto kama mzazi najua alitamani sana kuwa karibu na mwanae si kipindi hiki tu cha matatizo bali hata kabla ya matatizo lkn nafasi hiyo asingeweza kuipata kwakuwa mzazi mwenzie aliamua kuhamishia visasi vyake vya kimapenzi kwa mtoto na baba na kuitumia kama adhabu jambo ambalo ni kosa kubwa kwani alimnyima mtoto haki ya kupata malezi ya wazazi wake wote wawili na akamnyima baba haki ya kumlea na kumuonesha upendo wa mzazi mwanae. Issue ya yeye kuwa na mahusiano mengine ni jambo binafsi na haki yake maana alikuwa ameshaachana na mwenzie hivyo haihusiani wala haiathiri hata kidogo makuzi na malezi ya mtoto. Naomba nitoe Rai kwa wanawake wengine wote tafadhali msiwatumie watoto kama silaha ya kuwaadhibu wenzi wenu mlioachana nao kwani mnakuwa hamuwaadhibu wenzi tu bali pia watoto ambao hawana hatia. Pole sana ndugu yangu Casto Dickson na mama wa mtoto kwa kumpoteza mtoto ambaye kama wazazi najua mlikuwa na matarajio mengi na makubwa juu yake, Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu mnachopitia. Mimi kama mwanaume nnayefahamu misukosuko inayotokea pindi wenza wanapoachana kamwe sitathubutu kufungua mdomo wangu kumshambulia yeyote kati yao.
Rest In Peace Malaika wa Mungu, mbele wewe nyuma sisi.View attachment 801956
Kwani mtoto wa casto au peter
 
Nilishawahi msikia casto kwenye kipindi cha Playlist cha clouds tv kama sijakosea mwaka Jana au Juzi alisema ni kweli ana mtoto kwa Huyo munalove!

Sijui hawa wanaosema mtoto sio wa casto waliambiwa na nani!
Vurugu tupu huko Leo IG nami najua hvyo ila naona kuna baba mwingine sasa
 
Vurugu tupu huko Leo IG nami najua hvyo ila naona kuna baba mwingine sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji23]
Wabongo utawaweza!
Sasa baba mtu alishakubali na wala akiulizwa hilo swali alikua haongei kwa hofu kua huyo ni mwanae wameshupalia mtoto sio wake aiseee!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji23]
Wabongo utawaweza!
Sasa baba mtu alishakubali na wala akiulizwa hilo swali alikua haongei kwa hofu kua huyo ni mwanae wameshupalia mtoto sio wake aiseee!
Yaani wabongo tunapenda kutafuta kick hata kwenye matatizo ya watu
 
Wakifa watoto wa ndugu zenu
hampost, wakifa watoto wa wenzenu mnapost ila awe star'. Akifa mtoto wako utampost wewe tu hakuna atakae shuhulika. Sasa ni nin hii?

Kila mtu a play party yake tuache unafiki.

Watu wanajifnya wanajari sana misiba inapotokea kwa mtu hasa akiwa maarufu watapost kila mahari
ila hawa hawa binadamu hawajali unapotokea msiba hata awe ndugu yake atachukulia kawaida tuu.

Ukweli upo hivyo. Sasa achana nahii ya watu 20 ,kuna watu wafamilia moja wapatao 14 walikufa siku moja kwaajali yaan siku moja on the spot palepale watu wa familia moja wapatao 14.. Unaweza pima haya maumivu???

Lkn ilipita kama zilivyopita ajali myingine. Alafu leo Kafa dogo. Kisa ni mtoto wa star basiii si IG mpaka JF,, ni vilio vya kinafiki tu ndo vimepakaa, .....wengine hapo hapo uko Insta ndo wanatumia Fursa hii kupata follower, page zao kutembelewa ili wapate pesaa, wengine humh JF niwafuata mikumbo tuu ,nao wanafake majonzi ili waonekane wanauchungu .

Mamaee zao, wengine hapa ,majuzi ndugu zao wa damu wamekufa, lkn hata kutuambia humu au kumpost uko IG hamnaaa, wengine humu hawajauzulia vifo vya ndugu zao kibao, wakijifanya wapo bize kupita kiasi ..mamaee zao ..

ACHENI KUJITIA UNAFIKI , USOKUA NAMAANA HUKU ROHON MWENU MKIJIJUA.

amekufa, yes amekufa, mwacheni mtoto wawatu apumzike kwa amani sio kuanza kumjadili saizi, .. ***** zenu, Mbona hamkutoa mchango wa dogo kupata matibabu husika??

Upuuzi tu ndo mmejaa, mbona, hamkuchukua jukumu lakwenda kwa mona ,au baba halisi wtoto au baba wakambo nakuwaeleza hali halisi ili wamjengee mtoto mazingira bora??

Mtoto anakufa ndo mnajifanya kutunisha mijicho yenu ,na vilio vya kisenge sengee humu ,muonekane mnahuruma ..pumbavu sana .

Eti kijitu kinakuja kusema * Uzembe wa mona ,ndo umeua mtoto..ohooooo walifanya siri sana, ohoooo baa wakambo hakujali,.ohoooo baba wakambo na mona ndo wamefanya kifo* .. Pumbavuu zenu, peleken huko unafiki wenu. MLIKUA WAPI KWENDA KWA MONA AU BABA WAKAMBO MKAWASHAULI ?? WENDA MNGEKUA SEHEMU YA UHAI WA MTOTO HUYU ?? MLIKUA WATU??

alafu mijitu mingine ,Unafikiiii unafiki tu imewajaa na umbeya wakipuuzi .

Watanzania wengi tuna shobo.
 
Nyumba zina mengi jamani. hayo ya wazazi kufarakana, sidhani ni big deal. Big deal ni wao kuamua kuyaanika hadharani. Kwa hiyo wakichambuliwa na walimwengu sidhani kama ni shida au unafiki. Maana walipenda wenyewe iwe hivyo.

Ukitaka kuishi maisha ya Camera athari zake ndo hizi. Nadhani hawa watu wanapendwa kusemwa semwa na kuandikwa. Hivi leo likimtokea jambo Le Mutuz kuna ambaye atamhurumia eti anafuatiliwa sana? Maana he makes his living from the media.

Kila aina ya maisha unayoichagua na kuishi ina gharama zake. Sharti uwe Tayari kulipa hiyo gharama.

Dogo apumzike kwa amani.
 
Fundisho dogo sana tunalipata kupitia huyu mtoto kwamba
1.ugomvi wa baba na mama usimuhusu mtoto......
2.matatizo ya familia hayatatuliwi mitandaoni....
3.Usitake kumkomoa mzazi mwenzako kwa kupitia mtoto...
4.Wanaume tusiwe shamba wa mapenzi kisa umepata msichana unayedhani kuwa ni mzuri na maarufu ukasahau hadi mwanao kisa tu unakula bata na huyo malaya
5.Castro na Muna ni Was.enge ugomvi wao umepelekea kifo cha mtoto wao kizembe sana
6.Wanawake/Wanaume wa mitandaoni sio wa kuoa au kuolewa nao hawana family ethics...
7......ongezea.....

Umesahau fundisho moja muhimu sana. Moja ya madhara ya kuzaa nje ya ndoa ndio haya. Laiti km huyu mtoto angekua amezaliwa kwenye ndoa kusingekua na huu ujinga wa kumtaftia baba.
 
Back
Top Bottom