TANZIA: Mtoto wa Rose Nungu (Munalove) Patrick Peter Zacharia Komu (Partsmartboy) Afariki dunia

TANZIA: Mtoto wa Rose Nungu (Munalove) Patrick Peter Zacharia Komu (Partsmartboy) Afariki dunia

Mimi sijaelewa, huyohuyo ndiye Mtoto wa Dickson a.k.a Mr Tunda? ama kuna Watoto wawili tofauti?
 
Nini kilitokea?
Hata kama tunawapenda watoto wetu, si sawa kuwarusha na kuwatanzana namna hiyo katika uwanja "wa wakubwa kama huko Instagram"

Mtoto alilazimishwa kuvaa, kuimba, kuongea, na kuonekana kama mtu mzima!

Je alipata nafasi ipi ya yeye kucheza na watoto wenzake?

Je alipata wapi nafasi ya kuwaza kama watoto wenzake na kuiishi dunia ya utoto wake?

Angekuwa mtu mzima, angesimulia yapi mazuri ya utito wake kama kucheza kombolela na kupigana na wenzake katika michezo?

Mtoto anavalishwa kama mdoli, gangastar, mtanashati, bitozi, micheni, miwani na takataka zoote kama mtu mzima!...je MACHO ya watu wabaya yalikua namna gani kwa malaika huyu "aliyelazimishwa" kuishi kama mtu mzima?

MUNA alikosea sana.
 
Yaan kubwa zima unafuatilia maisha ya mtoto tena ambaye hata humjui..,enhe tuambie ana uspesho gan?
Wewe haikuhusu ila Kwa kuwa Wewe humjui usidhani wenzio Wote hawajui Acha wivu Hata Kwa marehemu.
 
Bila unafiki maisha hayaendi mkuu. Zikifukuliwa nyuzi zinazomhusu muna na wema utashangaa asilimia kubwa wanaojiliza na kusononeka walikua wa kwanza kumtupia mawe muna na maisha ya mwanae.
Kuna mdada huko insta kajaribu kumpa pole baba mzazi wa mtoto na kuelekeza msiba ulipo nyumban kwa baba mtu,kila mtu anamtukana huyo dada na kumuona mnafiki
Wakifa watoto wa ndugu zenu
hampost, wakifa watoto wa wenzenu mnapost ila awe star'. Akifa mtoto wako utampost wewe tu hakuna atakae shuhulika. Sasa ni nin hii?

Kila mtu a play party yake tuache unafiki.

Watu wanajifnya wanajari sana misiba inapotokea kwa mtu hasa akiwa maarufu watapost kila mahari
ila hawa hawa binadamu hawajali unapotokea msiba hata awe ndugu yake atachukulia kawaida tuu.

Ukweli upo hivyo. Sasa achana nahii ya watu 20 ,kuna watu wafamilia moja wapatao 14 walikufa siku moja kwaajali yaan siku moja on the spot palepale watu wa familia moja wapatao 14.. Unaweza pima haya maumivu???

Lkn ilipita kama zilivyopita ajali myingine. Alafu leo Kafa dogo. Kisa ni mtoto wa star basiii si IG mpaka JF,, ni vilio vya kinafiki tu ndo vimepakaa, .....wengine hapo hapo uko Insta ndo wanatumia Fursa hii kupata follower, page zao kutembelewa ili wapate pesaa, wengine humh JF niwafuata mikumbo tuu ,nao wanafake majonzi ili waonekane wanauchungu .

Mamaee zao, wengine hapa ,majuzi ndugu zao wa damu wamekufa, lkn hata kutuambia humu au kumpost uko IG hamnaaa, wengine humu hawajauzulia vifo vya ndugu zao kibao, wakijifanya wapo bize kupita kiasi ..mamaee zao ..

ACHENI KUJITIA UNAFIKI , USOKUA NAMAANA HUKU ROHON MWENU MKIJIJUA.

amekufa, yes amekufa, mwacheni mtoto wawatu apumzike kwa amani sio kuanza kumjadili saizi, .. ***** zenu, Mbona hamkutoa mchango wa dogo kupata matibabu husika??

Upuuzi tu ndo mmejaa, mbona, hamkuchukua jukumu lakwenda kwa mona ,au baba halisi wtoto au baba wakambo nakuwaeleza hali halisi ili wamjengee mtoto mazingira bora??

Mtoto anakufa ndo mnajifanya kutunisha mijicho yenu ,na vilio vya kisenge sengee humu ,muonekane mnahuruma ..pumbavu sana .

Eti kijitu kinakuja kusema * Uzembe wa mona ,ndo umeua mtoto..ohooooo walifanya siri sana, ohoooo baa wakambo hakujali,.ohoooo baba wakambo na mona ndo wamefanya kifo* .. Pumbavuu zenu, peleken huko unafiki wenu. MLIKUA WAPI KWENDA KWA MONA AU BABA WAKAMBO MKAWASHAULI ?? WENDA MNGEKUA SEHEMU YA UHAI WA MTOTO HUYU ?? MLIKUA WATU??

alafu mijitu mingine ,Unafikiiii unafiki tu imewajaa na umbeya wakipuuzi .
 
Kinachoumiza zaidi ni watu kuufanya huu msiba kama sehemu ya kupata kiki.... Watz tunasafari ndefu sana [emoji17] [emoji17]
 
Yaani hovyo kabisaa kule kuna watu wanaafiki jamani!

Hivi mtu anajifanya ana majonzi anapost picha dkk sifuri anaweka tangazo La burdaani au bata refu!kaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wengi wanadahani kwamba yule marehemu mtoto alikuwa wako na wewe pia ukajifanya ni wako
ukweli nikwamba ni wa mume wa ndoa wa Muna,wewe kipindi kile ulifata visenti vyake vya kuuza unga
mpira umerudi golini sasa,usijikaze sema tu ukweli yule marehemu siyo mwanao.
 
Hata kama tunawapenda watoto wetu, si sawa kuwarusha na kuwatanzana namna hiyo katika uwanja "wa wakubwa kama huko Instagram"

Mtoto alilazimishwa kuvaa, kuimba, kuongea, na kuonekana kama mtu mzima!

Je alipata nafasi ipi ya yeye kucheza na watoto wenzake?

Je alipata wapi nafasi ya kuwaza kama watoto wenzake na kuiishi dunia ya utoto wake?

Angekuwa mtu mzima, angesimulia yapi mazuri ya utito wake kama kucheza kombolela na kupigana na wenzake katika michezo?

Mtoto anavalishwa kama mdoli, gangastar, mtanashati, bitozi, micheni, miwani na takataka zoote kama mtu mzima!...je MACHO ya watu wabaya yalikua namna gani kwa malaika huyu "aliyelazimishwa" kuishi kama mtu mzima?

MUNA alikosea sana.
Nimekulewa mkuu, Maana wengine hatufatilii Hawa celebs wa bongo. Kama alifanya yote hayo then alikosea sana.
 
Ulimpima DNA?
Mwenye mwanae casto alishakubali wewe ni nani wa kupinga?

Wabongo hebu tuache kutenda dhambi za kireja reja namna hii!
 
Kizazi cha walamba lips ni shida.
34885186_2582825781942677_9037689244755165184_n.jpg
 
Hata kama tunawapenda watoto wetu, si sawa kuwarusha na kuwatanzana namna hiyo katika uwanja "wa wakubwa kama huko Instagram"

Mtoto alilazimishwa kuvaa, kuimba, kuongea, na kuonekana kama mtu mzima!

Je alipata nafasi ipi ya yeye kucheza na watoto wenzake?

Je alipata wapi nafasi ya kuwaza kama watoto wenzake na kuiishi dunia ya utoto wake?

Angekuwa mtu mzima, angesimulia yapi mazuri ya utito wake kama kucheza kombolela na kupigana na wenzake katika michezo?

Mtoto anavalishwa kama mdoli, gangastar, mtanashati, bitozi, micheni, miwani na takataka zoote kama mtu mzima!...je MACHO ya watu wabaya yalikua namna gani kwa malaika huyu "aliyelazimishwa" kuishi kama mtu mzima?

MUNA alikosea sana.
Hili neno hili!
 
Nakuunga mkono kabisa,kwa nini wamama wasikuhizi wanawaweka watoto mitandaoni huwa najiuliza ilo swali Sana.Je mtoto anapenda,unafanya biashara gani na mtoto mtandaoni.Kwenye ulimwengu watu sio wazuri watu wanavijicho na majicho watu wanatumia picha za watoto au watu kupeleka kwenye ulimwengu was roho chafu.Natamani niwe Raisi nipige marufuku wamama kuweka picha za watoto mitandaoni kiroho Ni mbaya sana
 
Anayejua mtoto ni wa nani ni mama peke yake, yawezekana mtoto hakuwa wa casto kweli lakini asiwe wa yule mume wake wa ndoa pia, hebu acheni hili lipite, kuna mdada kaachana na mumewe na kwenda kuishi na mwanamme mwingine, yule mume kudai watoto kaambiwa sio wake ni wa yule anayeishi naye sasa, na DNA msema kweli ikathibitisha, so acha hili lipite tu mkuu
 
Muacheni mtoto wa watu apumzike kwa amani jmn.
Halafu mijitu inayojidai imeguswa sana na kifo cha huyu mtoto utakuta ndio mikatili kinoma kwa watoto wao.
Watoto wakisikia tuu sauti kila mmoja anatafuta chocho ya kulaza.
Watz acheni unafiki na kuishi maisha fake.
 
Back
Top Bottom